Chawa wa Zamani
Senior Member
- Mar 12, 2023
- 146
- 224
hafai ! hafai! hafai! hafai! atoke!! atoke!! atoke!! sisi tunalima Jimbon kwake atawalaza huyu ! adhibitiwe![emoji23][emoji23][emoji23]
atoke!! atoke!! atoke!! huko Mbele tutashundwa kulima hata 'MaTEMBELE' Jamaa hopeless kabsaa..cjui ilikuwaje akapewa Uwazr!Mdude Nyagali anasema Bashe ni zao la malezi ya mafisadi. Kwa maana amelelewa, kufunzwa na kuingizwa siasani na Mafisadi wale wa zamani aka magamba matatu
Huyo Mdude Nyagali yuko sahihi kabisa. Haka ka Hussein Bashe ni kachawa ka muda mrefu ka Rostam Aziz! Kamwe hakawezi kuwa na uchungu wowote ule na Watanzania.Mdude Nyagali anasema Bashe ni zao la malezi ya mafisadi. Kwa maana amelelewa, kufunzwa na kuingizwa siasani na Mafisadi wale wa zamani aka magamba matatu
Watu wanachuki za kijinga na kipumbavu, wamuache Bashe afanye sehemu yake.Acheni chuki za kifala dhidi ya Bashe ni lini sera ya kilimo ya nchi hii ikawa hai mpaka ije kuuliwa na Bashe?
Eweehhh!! 'Kalikonji' mwambien Ajiudhuru Basi kama n hvyo...Sio mnaishia kula nae mirungi tu hilo Li BBT lake la hovyo mbona wawekezaj zaji wakubwa wanamkimbia ... hakuna hata professor Yeyote kutoka SUA alishirikishwa katika hio plan.Acheni chuki za kifala dhidi ya Bashe ni lini sera ya kilimo ya nchi hii ikawa hai mpaka ije kuuliwa na Bashe?
Sehemu ipi ya kuharibu ?? Mwambien hafai ! hafai! hafai! hafai! atoke!! atoke!! atoke!! Taifa Lina taaluma nyng sana hili..kiache kujifanya kitaalam..Watu wanachuki za kijinga na kipumbavu, wamuache Bashe afanye sehemu yake.
Ww kama unategemea kulisha familia yako kwa kuwa chawa wa wana siasa kama jina la ID yako usidhani kila mtu yuko hivyo.eweehhh!! 'Kalikonji' mwambien Ajiudhuru Basi kama n hvyo...Sio mnaishia kula nae mirungi tu hilo Li BBT lake la hovyo mbona wawekezaj zaji wakubwa wanamkimbia...
Hata kipindi cha huyo jiwe wenu nchi ilikuwa kwa matajiri kwa sababu ndo walikuwa walipa kodi iliyo kuwa inaendesha serikali yake.Huenda kasimikwa hapo na watu wazito awafanyie mambo yao, nchi isharudi kwa matajiri hii.....r.i.p Magu.
Kwenye BBT nasubiri ripoti ya CAG tueweehhh!! 'Kalikonji' mwambien Ajiudhuru Basi kama n hvyo...Sio mnaishia kula nae mirungi tu hilo Li BBT lake la hovyo mbona wawekezaj zaji wakubwa wanamkimbia...
Si na wenyewe wanafanya biashara na kupata faida, nchi hii kila mtu analipa kodi kupitia VAT, PAYE, tozo nk. nk.Hata kipindi cha huyo jiwe wenu nchi ilikuwa kwa matajiri kwa sababu ndo walikuwa walipa kodi iliyo kuwa inaendesha serikali yake.