Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Yale yale siyo kosa lakoNamuunga mkono Bashe kwenye hili, pamoja na kwamba sijamsikia lakini kupitia maandishi yako nadhani Bashe ana point. Kuna wabunge wameenda bungeni kwa ajili ya posho tu na wapo ambao wameingia ili kuishauri na kuisimamia serikali na Kwangu Mimi hawa ndio wanao stahili hizo PODHO kwasababu wanaitendea haki kazi na wajibu wao. Imeandikwa asiefanya kazi na asile.
Mkuu mungu ni mkubwa maana anazidi kutuonyesha madhaifu ya wabunge wa ccm ambao wanaenda bungeni kufuata posho,Nimesikitishwa na hoja ya mbunge wa nzega Hussein M. Bashe aliyoitoa akitaka uongozi wa bunge usiwalipe posho wabunge wanaosusia kuchangia mijadala ya bajeti.
Hivi kumbe huwa mnachangia mijadala kwenye vikao vya bunge ili mpate posho? this is ridiculous Nilidhania mnachangia mijadala ya bajeti kwa ajili ya wananchi waliowachagua kumbe kwa ajili ya posho?mental disability hii ni hasara kwa waliomchagua.
Bashe kwa hiyo unataka kutuambia watanzania kwamba zaidi ya wabunge 200 wa ccm ambao hawachangiagi mijadala yoyote bungeni wao kazi yao ni kuingia,kutoka na kusaini posho nao wasilipwe posho pia?au una maana gani?My GOD inamaana ccm ndio haina mbunge mwingine mwenye akili?
Yani badala ya kuchangia bajeti ili wananchi wako wapate maji barabara zahanati madawa wewe unachangia bajeti kwa matwaka ya serikali uliyopaswa kuisimamia ili upate posho?hivi wabunge wa tabora mkoje mbunge mstaafu wa urambo samuel sita naye alishawahi kuanzisha mgomo chuo kikuu UDSM kisa anataka maziwa ya siagi wakati kwao alikuwa anaamkia upolo na maharagwe.
by
mdude nyagali
Kutoka nzega kwenda geita siyo mbali ndio maana hata yule msukuma kasheku aliomba mirungi iruhusiwe ili vijana wajirushe kwa raha zaoInasikitisha kwa kweli na inauma sana richa ya kuwa ni mbunge lakini ni binadamu mwenzetu kwa hiyo tunapoona akili yake inakuwa contaminated inatuuma sana!
Huwezi ukatoa hoja kama hiyo wakati chama chake kina wabunge zaidi ya mia ambao kazi yao ni kulala tu na wanapokea posho
Namuunga mkono Bashe kwenye hili, pamoja na kwamba sijamsikia lakini kupitia maandishi yako nadhani Bashe ana point. Kuna wabunge wameenda bungeni kwa ajili ya posho tu na wapo ambao wameingia ili kuishauri na kuisimamia serikali na Kwangu Mimi hawa ndio wanao stahili hizo PODHO kwasababu wanaitendea haki kazi na wajibu wao. Imeandikwa asiefanya kazi na asile.
Asiyefanya kazi na asile.Nimesikitishwa na hoja ya mbunge wa nzega Hussein M. Bashe aliyoitoa akitaka uongozi wa bunge usiwalipe posho wabunge wanaosusia kuchangia mijadala ya bajeti.
Hivi kumbe huwa mnachangia mijadala kwenye vikao vya bunge ili mpate posho? this is ridiculous Nilidhania mnachangia mijadala ya bajeti kwa ajili ya wananchi waliowachagua kumbe kwa ajili ya posho?mental disability hii ni hasara kwa waliomchagua.
Bashe kwa hiyo unataka kutuambia watanzania kwamba zaidi ya wabunge 200 wa ccm ambao hawachangiagi mijadala yoyote bungeni wao kazi yao ni kuingia,kutoka na kusaini posho nao wasilipwe posho pia?au una maana gani?My GOD inamaana ccm ndio haina mbunge mwingine mwenye akili?
Yani badala ya kuchangia bajeti ili wananchi wako wapate maji barabara zahanati madawa wewe unachangia bajeti kwa matwaka ya serikali uliyopaswa kuisimamia ili upate posho?hivi wabunge wa tabora mkoje mbunge mstaafu wa urambo samuel sita naye alishawahi kuanzisha mgomo chuo kikuu UDSM kisa anataka maziwa ya siagi wakati kwao alikuwa anaamkia upolo na maharagwe.
by
mdude nyagali
Nafuu ya Bashe aliyeingia na kusema hayo aliyosema na kukuwezesha kutambua uwezo wake wa kufikiri. Swala la anauwezo gani itategemea na fikra za mtu dhidi ya Bashe kwani uzuri wa kitu upo kwenye akili ya mtu.Nimesikitishwa na hoja ya mbunge wa nzega Hussein M. Bashe aliyoitoa akitaka uongozi wa bunge usiwalipe posho wabunge wanaosusia kuchangia mijadala ya bajeti.
Hivi kumbe huwa mnachangia mijadala kwenye vikao vya bunge ili mpate posho? this is ridiculous Nilidhania mnachangia mijadala ya bajeti kwa ajili ya wananchi waliowachagua kumbe kwa ajili ya posho?mental disability hii ni hasara kwa waliomchagua.
Bashe kwa hiyo unataka kutuambia watanzania kwamba zaidi ya wabunge 200 wa ccm ambao hawachangiagi mijadala yoyote bungeni wao kazi yao ni kuingia,kutoka na kusaini posho nao wasilipwe posho pia?au una maana gani?My GOD inamaana ccm ndio haina mbunge mwingine mwenye akili?
Yani badala ya kuchangia bajeti ili wananchi wako wapate maji barabara zahanati madawa wewe unachangia bajeti kwa matwaka ya serikali uliyopaswa kuisimamia ili upate posho?hivi wabunge wa tabora mkoje mbunge mstaafu wa urambo samuel sita naye alishawahi kuanzisha mgomo chuo kikuu UDSM kisa anataka maziwa ya siagi wakati kwao alikuwa anaamkia upolo na maharagwe.
by
mdude nyagali
Dah sasa kama unagoma halafu unataka posho!...mbowe ni janga,asiyefanya kazi na asile.Nimesikitishwa na hoja ya mbunge wa nzega Hussein M. Bashe aliyoitoa akitaka uongozi wa bunge usiwalipe posho wabunge wanaosusia kuchangia mijadala ya bajeti.
Hivi kumbe huwa mnachangia mijadala kwenye vikao vya bunge ili mpate posho? this is ridiculous Nilidhania mnachangia mijadala ya bajeti kwa ajili ya wananchi waliowachagua kumbe kwa ajili ya posho?mental disability hii ni hasara kwa waliomchagua.
Bashe kwa hiyo unataka kutuambia watanzania kwamba zaidi ya wabunge 200 wa ccm ambao hawachangiagi mijadala yoyote bungeni wao kazi yao ni kuingia,kutoka na kusaini posho nao wasilipwe posho pia?au una maana gani?My GOD inamaana ccm ndio haina mbunge mwingine mwenye akili?
Yani badala ya kuchangia bajeti ili wananchi wako wapate maji barabara zahanati madawa wewe unachangia bajeti kwa matwaka ya serikali uliyopaswa kuisimamia ili upate posho?hivi wabunge wa tabora mkoje mbunge mstaafu wa urambo samuel sita naye alishawahi kuanzisha mgomo chuo kikuu UDSM kisa anataka maziwa ya siagi wakati kwao alikuwa anaamkia upolo na maharagwe.
by
mdude nyagali
Tutaona Mengi mkuu wanguMkuu mungu ni mkubwa maana anazidi kutuonyesha madhaifu ya wabunge wa ccm ambao wanaenda bungeni kufuata posho,
Janga ni nyie mnaotaka bunge kufanyika gizaniDah sasa kama unagoma halafu unataka posho!...mbowe ni janga,asiyefanya kazi na asile.