"When they see us" mtuangu. Kuna machali weuc wa5 wakiitwa central park 5. Walisingiziwa kubaka na kuua mmama wa kizungu... story ya kweli na inaweza kukutoa mashoz mtuanguWadau,
True story movies zinakuwa nzuri na zenye mafundisho ya maisha tunayoishi kila siku,
Weka list yako ya movie yoyote unaijua ambayo ni tukio la kweli lililotekea past au ni story ya mtu ya ukweli kabisa.
List yangu fupi kuna;
1. Beautiful mind
2. Persuit of happiness
3. Titanic
4. Shawnshak redemption na Pablo Escobar naona nae wamtolea series zake kabisa!
Wadau ebu endeleeni na hii list ya hizi movies za ukweli ukweli.
itafute lakini uwe mwenyewe mtuangu usije ukaoneka unakaumamamtuangu lazima tuicheki iyo tulie kidogo
kwa muvi zenye hisia kweli wahindi wako vizuri sana!achana na yale ma series yao ya kichawi na kipuuzi.😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kuna muvi zinajua kukamata hisia za watu aisee, angalia muvi inaitwa Traffic Light ni indian movie. India watu wanamaisha magumu sana.
Abhishekh Bachan anaufanyaga kazi poa sana. Pia Amir Khan na Sharookh Khan. Angalia Mannmarizyan mtuangu utanambia ni ataarikwa muvi zenye hisia kweli wahindi wako vizuri sana!achana na yale ma series yao ya kichawi na kipuuzi.
but tafuta single muvi uone story zao zinavyokuwa tam kama muvi ya TERI KASAM.
Ila US Army walifikiria nini kuweka Outpost eneo kama lile badala ya kukaa Mlimani?The Outpost (2020)
Danger Close (2019)
Hacksaw Ridge (2006)
Hizi zote ni za kivita ila The Outpost ni the best, ilipigwa vita ya siku nzima kati ya jeshi la Marekani na wa-Taliban kama 400 huko Afghanistan. Wamarekani walizidiwa nguvu kwasababu wao walikuwa kwenye bonde, wataliban wao walikuwa kwa juu ya mlima. Jeshi la Marekani lilishinda vita kwa msaada wa jeshi la anga bila hivyo alikuwa harudi mtu nyumbani.
Namba 4 haijawahi kuwa kweli1:Queen of kitwe.
2: the bridge of spy
3: anthropoid
4: angel has fallen down
Ndiohivi ile movie inaitwa "captain philliph" ni true story?
Mbona siipati hiyo ya dokta..au umekosea jinaWanaopenda " escape stories" za ukweli cheki episodes za Steven Jay Russel, The man who no jail could hold.
Inafanana kiasi na Catch me if you can ila huyu jamaa IQ kubwa.
Kidokezo tu:
Kule jela aliwasoma ma Dr. wanaovyoingia na kutoka na kutembea na kusalimiana na watu akagundua ma dr. Wanaheshimika na kuaminika sana.
Akaanza kuiba marker pen za kijani baada ya kujiunga na darasa la uchoraji mle lupango, alipopata za kutosha akawa analoweka nguo zake ziwe za kijani kama za ma dr.
Siku aliyopanga mwenyewe kavaa magwanda ya ma Daktari na kalamu mfuko wa shati wa mbele katembea milango wanamfungulia wenyewe mapolisi bila kumtazama mara mbili katokea mlango wa mbele pale pale huyooo uraiani.
Hizo episode mbili tatu ni kali zaidi kacheki nwenyewe youtube
Yeye alikuwa hachimbi handaki au kubomoa kichwa tu.
*************
Ila shawn_ redemption nayo kali pia
Nsyuka...Pasu Kwa Pasu
Acheni ubaguzi mazee!
12 years a slaveEscape From Alcatraz' (1979)
'Apocalypse Now' (1979)
'The Imitation Game' (2014)
'Into the Wild' (2007)
'Lawrence of Arabia' (1962)
'Midnight Express' (1978)
'Spartacus' (1960)
'Catch Me If You Can' (2002)'
'300'
'12 Years of a Slave'
'A Beautiful Mind'
'Persuit of Happiness'
'Schindler's List'
'Unbroken'
'Tesla'
'
Kuna mwana aliwaambia mapema sana ila wakamdharau, lakini kijiografia ile camp ilikuwa imekaa kinaa sana pale kama una motar na roketi za kutosha kweli atoki mtu.The Outpost (2020)
Danger Close (2019)
Hacksaw Ridge (2006)
Hizi zote ni za kivita ila The Outpost ni the best, ilipigwa vita ya siku nzima kati ya jeshi la Marekani na wa-Taliban kama 400 huko Afghanistan. Wamarekani walizidiwa nguvu kwasababu wao walikuwa kwenye bonde, wataliban wao walikuwa kwa juu ya mlima. Jeshi la Marekani lilishinda vita kwa msaada wa jeshi la anga bila hivyo alikuwa harudi mtu nyumbani.
Ni kweli ile kitu ilitokeahivi ile movie inaitwa "captain philliph" ni true story?
Tafuta Steven Jay Russell ndio mkali mwenyewe.