"Based on true story" movies

torvic

JF-Expert Member
Mar 9, 2016
3,481
7,847
Wadau,

True story movies zinakuwa nzuri na zenye mafundisho ya maisha tunayoishi kila siku,
Weka list yako ya movie yoyote unaijua ambayo ni tukio la kweli lililotekea past au ni story ya mtu ya ukweli kabisa.

List yangu fupi kuna;
1. Beautiful mind
2. Persuit of happiness
3. Titanic
4. Shawnshak redemption na Pablo Escobar naona nae wamtolea series zake kabisa!

Wadau ebu endeleeni na hii list ya hizi movies za ukweli ukweli.
 
Lone Survivor.
 
For starting
Blood Diamond
Sometimes in April
Hotel Rwanda
Lion
Secret soldier of Beghaz
Lone Survivor
Barfi ( My best from India ) am not sure if was basing on true story
Storming of Soraya
Zile zinazohusu Ushenzi wa Hitler zote zipo nyingi sana and I tried to watch them as much as I could but i mix their titles
 
shukrani, list imeshiba. kumbe barfi ni true story
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna muvi zinajua kukamata hisia za watu aisee, angalia muvi inaitwa Traffic Light ni indian movie. India watu wanamaisha magumu sana.
 
Kuna muvi zinajua kukamata hisia za watu aisee, angalia muvi inaitwa Traffic Light ni indian movie. India watu wanamaisha magumu sana.
Hapana siwezi, halafu mbaya zaidi tukio lile ninaloliona linabaki akilini mwangu kwa siku nyingi, hua sipendi hata kidogo, napenda niangalie kitu kinifanye nicheke, nikasirike, nitishike lakini sio kitu cha kuumiza hisia zangu.
 
Pole sana hata mimi sipendi muvi za kuhuzunisha. Hebu angalia muvi ina 1787 Paris (mwaka huo nitakua nimeukosea) ila ukiangakia utaipenda na nitukio la kweli la marafiki watatu. Hao hao marafiki ndio wameicheza muvi, Muandaaji ni Clint Eastwood imetoka 2018. Nzuri sana utajikuta unatamani kua mtu mwema
 
Thank you ngoja niitafute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…