muda wa ukombozi
Senior Member
- Jun 28, 2013
- 129
- 118
Heshima yako mama....!
Pole na majukumu mazito, ambayo unaendelea nayo, nikiwa kama Mtanzania na niliyebahatika kusoma, niseme kwamba kuna changamoto kubwa kwenye mitaala ya elimu yetu ambayo inafubaza elimu yenyewe.
Mama yetu...
Kwa sasa elimu hii inakuandaa kuajiliwa tu na bahati mbaya ajira ni chache, wasomi wengi wapo majumbani na hawana chaguo lingine.
Mama yetu...
Wahitimu wakati mwingine wanatamani wafanye kitu kingine lakini anakuwa hakifahamu hivyo mwanzo wake unakuwa na changamoto nyingi, njia yake ya mafanikio inakuwa ngumu sana.
Mama yetu...
Elimu yetu ya kuanzia darasa la kwanza hadi darasa la kumi na mbili, hazitofautiani sana, ukimuweka kijana aliyemaliza darasa la saba na aliyemaliza darasa la kumi na mbili, historia wataongea ileile, kiingereza kilekile kwa kifupi hakuna utofauti mkubwa, na kijana kapoteza muda mrefu shule alafu kwa kurudia mambo yaleyale kwa kiasi kikubwa ambayo mwisho wake kama hauna watu wanaojua watu upati kazi ata kama ufaulu wako ni wajuu haisaidii.
Mama yetu....
Mimi nilikuwa naomba nishauri kitu kwenye masuala haya......ata kama hayatafanyiwa kazi au yataboreshwa nitaheshimu....
Mama yetu...
Kwanza, shule zote za msingi ziwe zina mitaala ya ufundi, ujasiriamali kwenye ngazi hiyo hiyo ya msingi kuanzia darasa la kwanza hadi la nne mtaala uelekeze elimu ya picha na uhalisia kwa vifaa vitakavyotumika kwenye elimu hiyo ya ufundi na ujasiriamali alafu darasa tano hadi la saba waanze rasmi elimu hiyo na iendelee hadi form one na form two ambapo wataingia ndani kidogo kiujuzi, mwanafunzi akishamaliza form four kupitia elimu ya darasa la tano na la saba pamoja na ya form one na form two, akabidhiwe cheti.
Mama yetu..
Pili, mtoto huyu akimaliza form four kupitia cheti hicho anaweza akaenda Veta na kuanza moja kwa moja na diploma.
Mama yetu...
Tatu, ni kwamba shule nyingi zitafuata mtaala na wata nyumbulika kibiashara na hapa tutaandaa watoto ambao watakuwa wabunifu na ushindani kwa shule utakuwa mkubwa zenye mlengwa mzuri kuliko hivi sasa kwa vijana
Mama yetu..
wengi tupo mtaani na ni wasomi kweli lakini hatujaandaliwa kuja mtaani kupambana na maisha kupitia elimu tuliyo ipata.
N:B
ANGALIZO:
Mama yetu haya ni maoni yangu tu, na yatabaki kuwa yangu ata kama hayatafanyiwa kazi.
Nakutakia kazi njema kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ni mimi mwanao insta @Sekuba.