Samahan wakuu kwa anayeelewa naomba kuuliza ile form ilyotolewa na HESLB ni format ya jinsi ya kuandika ile barua au inakuaje? Naomba anayeelewa anipe maelekezo kidogo
Mkuu, me mwenyewe Nina mchakato wa kujaza hyo form.. Ila changamoto niliyoiona ni kutokuwepo na sehemu za kujaza baadhi ya taarifa fulani. Kumbuka hizi form wamezitoa in form of PDF.
Nilijaribu kuwatafuta heslb wasap wakanambia nipige simu.. Nikipige simu inakuwa nadra kupokea, hvyo ndugu naomba ujaribu nawe kuwapigie ukifanikiwa kuwapata waulize kuhusu hili then tujue ufafanuzi wake
Samahan wakuu kwa anayeelewa naomba kuuliza ile form ilyotolewa na HESLB ni format ya jinsi ya kuandika ile barua au inakuaje? Naomba anayeelewa anipe maelekezo kidogo
Fomu complicate Sana Ukijichanganya umeumia nimewapigia simu nikawaambia Kama hakuna hizo risiti wananijibu unafadhiliwaje bila ya kufanya malipo tafuta risiti na documents coz Ni MUST BE ATTACHED
Wakuu samahani..Mimi nimefanya mtihani kama private candidate pale arusha school center.. Sasa kwenye kujaza form ya mkopo kwenye kuweka namba ya mtihani shule haionekani.."school name not found" ila chini yake pana namba halisi ya shule..itaniathiri?