jamaa zako au wewe mwenyewe?
kwani hao jamaa zako waliitwa lini aisee? hii ya tar 29.10.2014 au ya September?
nasikia uwa zinachelewa sana au haziji kabisa. mi naona kama upo dar, nenda hapo maktaba wasikilize au kama vipi, subiria tu hadi week 2 angalau zipite. :sick:
Rafiki yangu alichelewa kupata yake huku wenzake wakiwa wameshapata.... alipoenda kufuatilia aliambiwa asubirie itatumwa tuu posta. Wiki mbili mbele na barua bado...siku hiyo akaenda kuwauliza tena akawa mkali secretary akawa anakijibu kwa nyodo. Kumbe barua anayo kwenye meza yake nafikiri alikuwa anasubiri wamweke mtu wqnaomjua kwa nafasi hiyo. Baada ya kuwa mkali akapewa halafu akaambiwa kesho ndio wanasaini mikabata. Kesho yake kaenda sehemu husika kakuta watu wengi balaa... anauliza waliambiwa lini wanasema kama wiki mbili zimepita. Sass secretary anaibania barua ya nini?!!! Na kama asingekuwa mkali asingepata barua wala kusign mikataba...angejuaje?!!! washauri nduguzo wafuatilie maana wasije jikuta majina yao wanaishia kuyaona magazetini bila kupata kazi.
Alamsiki.

Wakienda kufuata hizo barua wasisahau kubeba hata kitambulisho ata cha mpira mpiga kura
Rafiki yangu alichelewa kupata yake huku wenzake wakiwa wameshapata.... alipoenda kufuatilia aliambiwa asubirie itatumwa tuu posta. Wiki mbili mbele na barua bado...siku hiyo akaenda kuwauliza tena akawa mkali secretary akawa anakijibu kwa nyodo. Kumbe barua anayo kwenye meza yake nafikiri alikuwa anasubiri wamweke mtu wqnaomjua kwa nafasi hiyo. Baada ya kuwa mkali akapewa halafu akaambiwa kesho ndio wanasaini mikabata. Kesho yake kaenda sehemu husika kakuta watu wengi balaa... anauliza waliambiwa lini wanasema kama wiki mbili zimepita. Sass secretary anaibania barua ya nini?!!! Na kama asingekuwa mkali asingepata barua wala kusign mikataba...angejuaje?!!! washauri nduguzo wafuatilie maana wasije jikuta majina yao wanaishia kuyaona magazetini bila kupata kazi.
Alamsiki.
Kwanini mascretary wengi wana roho mbaya hivyo?