Barua kutoka kwa teacher.

kwa spelling hizo!!! hiyo lazima kaandika mwanafunzi (collin) mwenyewe
 
Hivi kuweka x kwenye s ni ujanja ama?
Ungeandika shule badala ya xhule ungepungua nini?!

Hao ndio masharobaro siku hizi wanaitwa masharoharo. Hapo anaona kuweka x sehemu ya s ni ujanja kumbe ni ulimbukeni usio mithilika.
 
Uandishi wa namna hii huwa unanitibua bado afu unamkuta na bahasha anatafuta kazi
 
Wanaandika kama Collin hapo juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…