The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,100
- 13,698
Ushindwe na uregee shaitwaaan qabir. Mtumwa ni mtumwa milele.Acheni hizo Mzee arudi Kuona nchi aliyoijenga namna ilivyouzwa kwa Tanganyika
Sultana anamkaribisha sultanHuyu ndiye sultan huyu Samia anakumbishia machungu wajomba zake walivyowafanya waafrika.
Mbona wajerumani walioa mababu zetu wamerudi,.? Au ndio mavi ya mzungu hayanuki?Audhubillah min al shaitan nirajeem mkoloni na muuza watumwa Jamshid bin Abdulla.
Nimesikia tetesi kuwa kuna watu wasioitakia mema nchi yetu wamekuruhusu urudi Zenj.
Je unakuja kufanya nini? Huoni kuwa huku ni kututia vidole machoni?
Umesahau kuwa tunajua uliuza mababu zetu utumwani mbali na kunyakua ardhi na mali zetu?
Je ungekuwa mswahili aliyefanya uliyofanya kwa waarabu wenzako, angeruhusiwa kurudi?
Na kama angeruhusiwa, mnyongaji angemfanya nini?
Je una mpango wa kukanya bara?
Je utaenda kuweka shada la maua kwenye kaburi la mzee Karume?
Je utwakenda Butiama kuweka shada la maua kwenye kaburi la nguli Nyerere?
Je umetumia mbinu au ushawishi gani kujiamini na kutaka kurejea kutonesha madonda?
Nashauri kama utarudi, basi washauri hao waliokurejesha wailipe familia ya fieldmarshal John Gideon Okello fidia.
Sikukaribishi Tanzania iwe visiwani au bara.
Je maisha yemekupiga huko Uigerezani?
Je unajua kuwa huu unaweza kuwa mtego wa kukutia adabu kwa vile uliowafanyia dhulma, ubaya, ubaguzi, unyama na uhayawani wanakumbuka kila kitu au unadhani wamesahau?
MWISHO
Nakushauri usirudi Zenj, kwani huna cha mno cha kuifanyia.
Waktabahu
Ni gavana gani wa kijerumani amerudi? Mavi ya mzungu yananuka sana.Mbona wajerumani walioa mababu zetu wamerudi,.? Au ndio mavi ya mzungu hayanuki?
Nakushauri uache hizo. Kama Bara wataamua kuwatimua mamluki wa kizanzibar, visiwa vyenu vitajaa hadi muanze kulana kama wadudu. Tunaweza kuanza na dada yenu mrembua macho aliyeko kukuu halafu, kama alivyowahi kushauri marehemu Mtikilla, tunawafanyia kitu mbaya walowezi wakubwa msio na shukrani wala kumbukumbu. Si muende huko kwa mabwana zenu arabuni muone watakavyowageuza.Wewe mtwana mbona umetoka tanganyika umekuja Zanzibar hakukuzuia mtu?
Kuuzwa au kuporwa?!Acheni hizo Mzee arudi Kuona nchi aliyoijenga namna ilivyouzwa kwa Tanganyika
Ungesalimia kwa dini yako unge pungukiwa na nini🤣🤣Audhubillah min al shaitan nirajeem
Wakati Afrika ilipoingizwa zaidi katika biashara ya kimaifa ya watumwa, mifumo hiyo ya utumwa wa kimapokeo ilianza kupeleka wafúngwa pia kwa masoko ya watumwa nje ya Afrika [1]. Biashara hiyo ya kimataifa ilitokea katika biashara ya watumwa kuvukia Sahara, biashara ya watumwa katika Bahari Hindi, na biashara ya watumwa ya Atlantiki (ambayo ilianza karne ya 16).Ushindwe na uregee shaitwaaan qabir. Mtumwa ni mtumwa milele.
Hiyo ndiyo dini yangu mwanangu. Si mnasema kila mtu anazaliwa muislam? Je unajua maana ya hayo maneno ambayo siyo salamu bali laana?Ungesalimia kwa dini yako unge pungukiwa na nini🤣🤣
Mkuu jifunze kuheshimu dini za wenzio hata kama unaona yako inakupendeza basi heshimu tu hata kama haikupendezi.Hiyo ndiyo dini yangu mwanangu. Si mnasema kila mtu anazaliwa muislam? Je unajua maana ya hayo maneno ambayo siyo salamu bali laana?
Acha aje aridhie na aiombee Dua Zenj irudi katika hadhi na maendeleo yake kama ilivyokua katika utawala wake.Audhubillah min al shaitan nirajeem mkoloni na muuza watumwa Jamshid bin Abdulla.