Nilikuwa namchukulia dogo poa ila kwa hii kitu ninamheshimu kweli. Sijua KTMA kama yuko kwenye kategori ya utunzi bora ila kama yupo basi anabeba tuzo. Huu wimbo wa Ruby ninausikiliza kila baada ya dk 7 hivi na hauniishi hamu. Licha ya sauti tamu ya Ruby na kaumbile kake, kikubwa ni utunzi mahiri wa wimbo wenyewe. Kiukweli wimbo umeshiba na una mapenzi ya kiutu uzima, sio yale ya demu wangu. Nilipouliza nikaambiwa aliyesababisha ni Barnaba. You are the best boy. Aliyeimba pia kautendea mno haki maana ndio aina ya melodi ninazopenda. melodi za kupaa na kukupeleka kusikojulikana zikihanikizwa na uhalisia wa mwimbaji. Big up Barnaba. Na yule is the best hit.
Nyimbo zingine nazozipenda ni
1. Dimond - Ukimwona
2. Bella - Nashindwa
3. Msechu - Nyota ing'ae
4. VOA - Salima
Naombeni mnijulishe na watunzi wa hizo nyimbo, au kama ni wao wenyewe.
pamoja mkuu. hawa vijana wamejipanga. zao la thtUkimwona - Diamond mwenyewe
Nashindwa - Bella Mwenyewe
Nyota ing'ae imeimbwa na Msechu ila imetungwa na Amini wa THT
Na Yule imeimbwa na Ruby ila imetungwa na Barnaba.
Ana Malele imeimbwa na Shilole ila imetungwa na Barnaba
Hamjui na Siri zimeimbwa na Vannesa Mdee ila zimetungwa na Barnaba.
Naona Bora nikimbie, atatamani zimeimbwa na Linah ila zimetungwa na Amini.
Kizungu zungu na Upepo zimeimbwa na Rechol ila zimetungwa na Barnaba na Amini kwa pamoja.
Siyo kisa pombe imeimbwa na Mwasiti ila imetungwa na Barnaba.
Mapito imeimbwa na Mwasiti ila imetungwa na Amini.
Kariakoo imeimbwa na Mataaluma ila imetungwa na Ditto
Angalau sasa nina furaha imeimbwa na Linah ila imetungwa na Ditto.
Maumivu Niacheee imeimbwa na Kadja ila imetungwa na Ditto
Hello Hello Tanzania imeimbwa na Linah na wenzake ila imetungwa na Ditto.
Hawa Madogo wamewatungia wenzao nyimbo zaidi ya hizi nilizoandika hapa kwangu ndiyo watunzi bora. Nikiwapanga kwa namba watakuwa
1) Barnaba
2) Amini
3) Ditto
Ukimwona - Diamond mwenyewe

Barnaba yuko vizuri mnoo