Baridi la Mbeya

...loh nimekumbuka pale moondust pana kitimoto kitamu sana,mbeya ni pazuri sana...
 
sasa ilo fuko apo pembeni ya rozari ni nini?
dah
 
GreenCity hahahaa wacha bwana,kafuko kadogo ivo ni first aid-kiti?
sema uliweka panadoli na fragili tu
 

Hii hali ya hewa ik0 b0mba sana kwa kufanya kazi bila kuch0ka+appetite nzuri sana. Wacha wakazi wa Mbeya wawe hard working na wenye afya nzuri; hali ya hewa nzuri hivi inachangia saaana katika haya masualla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…