Jamaa flani mvutaji bangi asiyejua kizungu alikamatwa na misokoto ya bangi;akashikwa akashtakiwa na kupelekwa Mahakamani kwa hukumu.
Wakati kesi inaendelea kukatokea vurugu mahakamani,Hakimu akasema kwa kizungu ili kuwe na utulivu...Order! Order....Order...!!"
Jamaa kusikia hivyo akajibu kwa sauti,"Chips kuku na coke baridi kwangu tafadhali!"