Barick wameufyata; Hakuna press ya gawio la hisa, report ya fedha, soko la mitaji au maongezi na Tanzania

BARRICK : WAMEUFYTA; HAKUNA PRESS YA GAWIO LA HISA, REPORT YA FEDHA , SOKO LA MITAJI AU MAONGEZI NA TANZANIA, KUNANI HUKO , TUJEZENI

Sisi tuliopo nje ya nchi tulitegemea Tanzania itadondoshwa kama ubua sakata la makinikia kwa jinsi tulivyokuwa tukipata taarifa hapa london;
Tukiamini wasomo wetu wataangushwa ; Tunasahngaa mpaka leo majigambo ya viongozi wa Accacia hawaitishi press apa London ; Kutupa mrejesho wa Biashara, Gawio na Maongezi yanaendeleaje? Siku zinaenda.

website za Barrick , Acacia hakuna taarifa yoyote, email atupati update ; Ofisi zao hapa hakuna taarifa zozote ;

Vipi huko home mmewabana nini? Tunaomba mrejesho tuanzae sherehe.
Kama mko nje bakini huko huko NOAH zenu tutawatumia kwa DHL.

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
Sisi tuliopo nje ya nchi tulitegemea Tanzania itadondoshwa kama ubua sakata la makinikia kwa jinsi tulivyokuwa tukipata taarifa hapa London. Tukiamini wasomo wetu wataangushwa. Tunasahngaa mpaka leo majigambo ya viongozi wa Accacia hawaitishi press apa London, kutupa mrejesho wa Biashara, Gawio na Maongezi yanaendeleaje? Siku zinaenda.

Website za Barrick, Acacia hakuna taarifa yoyote, email atupati update. Ofisi zao hapa hakuna taarifa zozote.

Vipi huko home mmewabana nini? Tunaomba mrejesho tuanzae sherehe.
Ww endelea kufua chupi za mabosi wako wakirejea huko utapata jibu. Hakikisha na hao dog wanaenda clinic kama kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HIVI ILE VITA YA MADAWA IMEISHA???
Haijaisha mkuu. Ingekuwa imeisha Mange Kimambi angekuwa kisharudi walikomtuma akapambane na Bashite externally.
Ila madawa awamu hii ya MAGUFULI yamepungua sana! mateja wengi wanaseek treatment.
Bila shaka wanaomba usiku na mchana JPM aondoke madarakani watuwekee mtu wao ikulu biashara irudi.
 
Kunijadili mTz kuwa makini pia,
Makinikia nayatungia mapini pia,

[HASHTAG]#Twenzetu[/HASHTAG] Zimbabwe hakuna namna.
 
Yaani hata hao ACACIA tuliwaona, wakwetu hata harufu hatujanusa. sasa sijui matumaini umeyapata vipi wakati hata huku hatujapata mrejesho wala wawakilishi wetu ni akina nani.

Jipe matumaini ya Noa maana tualiambiwa hivyo kila mtanzania ana yake
 
Mapapa ndio wanaolipa kodi za kuendesha serikali wamewasumbua kidogo tu mapato yameshuka zaidi 500b......wanatafakari na visasi vyao! Juzi wamemsifia mmoja amejenga reserve za petrol kubwa Tanga amesifiwa na wanamuabudu sasa! Serikali bila wafanyabiashara wakubwa walipa kodi itaenda kiburi na jeuri.....wapi
 
Back
Top Bottom