Bare knuckle scrap: Trump vs Biden

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,492
Reaction score
145,845
Jana akiwa Florida, makamu wa rais wa zamani wa Marekani Bw. Joe Biden, kwa mara ya pili tena kasema kama yeye na Trump wangekuwa bado wako high school basi angependa waende nyuma ya gym wakazipige na kwamba yeye Biden angembonda Trump.

I’m not making it up. Take a look for your yourself in the below video.


And in true Trump fashion, mapema leo asubuhi Trump naye akajibu kwenye Twitter!



Donald J. Trump
@realDonaldTrump


Crazy Joe Biden is trying to act like a tough guy. Actually, he is weak, both mentally and physically, and yet he threatens me, for the second time, with physical assault. He doesn’t know me, but he would go down fast android hard, crying all the way. Don’t threaten people Joe!

Teh teh this shit is hilarious! I wish Biden had run back in 2016. That match up woulda been hella fun, I tell ya!

So who ya got in that dust up? I got my money on Trump by KO via ground and pound teh teh.

These are interesting times!
 
Trump knows how to run his mouth. I say, he's just an expert on it. kwa upande mwingine, Biden anatumia akili kiasi fulani kuliko the fat lazy Trump.
 
Safari hii Duniani tutaona maajabu ya viongozi mbali mbali. Rais Donald Trump atishia kumpiga Makamu wa Rais wa zamani Joe Biden
 
Safari hii Duniani tutaona maajabu ya viongozi mbali mbali. Rais Donald Trump atishia kumpiga Makamu wa Rais wa zamani Joe Biden

Hapana.

Trump hajamtishia kumpiga Biden.
 
Ingetokea bngo hii ingeitwa "mipasho" ya wakubwa.

Ila kwa kuwa ni U.S baby si mipasho
 
Hahaaa hii ndio raha ya kuwa na kiongozi anaejua nini maana ya utani na wakati gani.


Wallah nakwambia angekuwa Sizonje ndo kaambiwa hivyo sijui ingekuwaje.
 
Trump kuna muda anasahau kwasasa yupo nje ya entertainment industry.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…