Barcelona Vs Real Madrid

invisible agiza kwa bill yangu.....
 
Unataka kula tuuu..............
lazima na wewe uliwe siku moja moja!!
 
"Hangover" aliyotoka nayo darajani bado inamtesa!
oooh, hawa hawafungiki, sijui messi sijui madudud gani
oooh Chelsea wliwafunga kwa bahati mbaya!!

haya sasa!!
 
naomba niwambe kuwa kwa madrid kushina nimelamba dola 100 toka kwa mdogo wangu..tuliwekeana..hahahhahaha..
 
kipofu kaona mwezi,, mmewachongea chelse adhabu ya kifo itakuwa juu yao...
 
mwenyezi mungu amesikia dua za wapenzi wa real
 
naomba niwambe kuwa kwa madrid kushina nimelamba dola 100 toka kwa mdogo wangu..tuliwekeana..hahahhahaha..

mkuu!nimebana sana mapvmbv kila barca wakishika mpira yaani hapa nilipo mpaka yanauma...hongera...nitumie hata dola 5 nikanunue panadol!
 
leo dream team imekufa rasmi kuanzia leo baada ya kichapo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…