...Inaelekea mwaka huu utakuwa ni wa Real Madrid katika ubingwa wa Spain. Baada ya kuwa nyuma labda BARCA watacharuka kutafuta goli la kusawazisha na labda kuongeza mengine, Madrid nao wasifanye makosa ya kulinda kagoli kao waendelee kushambulia kwa nguvu zote wanaweza kuziona tena nyavu za BARCA.