Haya matokeo yamenishangaza sana, sikutegemea kabisa wale Wafaransa wavune kapu la magoli kiasi hiki. Je, BARCA wana uwezo wa kuwapiga 5-0!? Uwezo huo wanao lakini je wataweza!? That's why we play/watch this very beautiful game. Tutege masikio na macho yetu.