VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Labda alikuwa majeruhi!morinho kamweka casillas bench duuhh jamaa season hii mwisho labda ashinde CL
Wapelekee RFA kwa msaada tu.Wakati Barcelona wakipata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Valladolid,mahasimu wao katika La Liga Real Madrid wamechezea kichapo cha 3-2 toka kwa Malaga. Mabao ya Barcelona yamefungwa na Xavi,Messi91 na Tello. Mabao ya Malaga yamefungwa na Isco na Roque Santa Cruz alipachika mawili. Benzema alifunga moja na lingine likiwa la kujifunga. Sasa RM wameachwa points 16 na Barcelona
Kwanini Mkuu?Wapelekee RFA kwa msaada tu.
Ni kweli KiongoziNaona kama vile uhai wa morinho pale Bernabeu upo mashakani!!!!
Magoli 91. Ndio maana nikamwita Messi91 kwakuwa hiyo ilikuwa mechi ya mwisho kwa mwaka huuMessi ndo anakuwa kafikisha magoli mangapi?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mtangazaji wake wa asubuhi alitueleza kuwa Malaga na Real Madrid wametoka sare ya bilabila achilia mbali wafungaji wa magoli wa Barca sijui aliwatoa wapi!Kwanini Mkuu?
;*Messi ndo anakuwa kafikisha magoli mangapi?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums