Nyoka mwenye makengeza JF-Expert Member Joined Aug 20, 2018 Posts 870 Reaction score 780 May 3, 2019 #121 Saint Ivuga said: Watu wa mikoani bwana mkishafika hapa mjini mnatuharibia kwa wake zetu. Mengine ni siri zetu unayaleta mtandaoni ili tusindikizwe kwenda saloni ama? Click to expand... wapuuzi sana hawa. Washazoea hair cutting saloon [emoji3]
Saint Ivuga said: Watu wa mikoani bwana mkishafika hapa mjini mnatuharibia kwa wake zetu. Mengine ni siri zetu unayaleta mtandaoni ili tusindikizwe kwenda saloni ama? Click to expand... wapuuzi sana hawa. Washazoea hair cutting saloon [emoji3]
K kisingy Member Joined Nov 21, 2011 Posts 16 Reaction score 3 May 4, 2019 #122 nyakandula said: Mkuu bdo sijaenda naogop san huku dar ukimw nje nje..bora angesem ananifanyia palepale anagalau Click to expand... Takwimu za ukimwi nafikiri mikoa inayoongoza ni Iringa na Njombe na sio Dar
nyakandula said: Mkuu bdo sijaenda naogop san huku dar ukimw nje nje..bora angesem ananifanyia palepale anagalau Click to expand... Takwimu za ukimwi nafikiri mikoa inayoongoza ni Iringa na Njombe na sio Dar
nyakandula JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 1,249 Reaction score 1,737 May 15, 2019 Thread starter #123 kisingy said: Takwimu za ukimwi nafikiri mikoa inayoongoza ni Iringa na Njombe na sio Dar Click to expand... Dsm sasa hv iko juu
kisingy said: Takwimu za ukimwi nafikiri mikoa inayoongoza ni Iringa na Njombe na sio Dar Click to expand... Dsm sasa hv iko juu
HFOOO JF-Expert Member Joined Aug 6, 2018 Posts 683 Reaction score 652 May 15, 2019 #124 Mkuu nipo hoi kweli hada nataman kuhamia dar hahahahahahaha
HFOOO JF-Expert Member Joined Aug 6, 2018 Posts 683 Reaction score 652 May 15, 2019 #125 cmoney said: mkiingiaga mjini mna shida sana nyie wa mikoani na mkipewa vyeo ndo kabisaa utasikia nafunga saluni zote utadhani ulishikiwa bunduki kuchukua hiyo namba Click to expand... hahahahhhhhahahahahah hapatoshi mkuuu nimecheka sana
cmoney said: mkiingiaga mjini mna shida sana nyie wa mikoani na mkipewa vyeo ndo kabisaa utasikia nafunga saluni zote utadhani ulishikiwa bunduki kuchukua hiyo namba Click to expand... hahahahhhhhahahahahah hapatoshi mkuuu nimecheka sana