Utopolo. Aibu snSo what!!!
Who cares!!! [emoji847]
Utanuna sana bwashe!Mwamedi kapenyeza mpunga huko, hakuna miujiza
Ambao hao viongozi wanapatikana kwa mabingwa wa historia.Tuacheni ushamba, kamati zoote za CAF wajumbe au viongozi wake wanatoka katika FA za nchi mbalimbali Afrika. Tumekua na wajumbe katika kamati za CAF tangu Enzi za Said Elmaamly, Leodigar Tenga n.k Tena wajumbe wa kudumu achana na awa ambao Leo unateuliwa kesho katibu wa CAf akiwa mwingine unaondolewa.
Lakini hiyo yote haijawahi kubadili kiwango Cha mpira wetu. Mabadiliko ya Soka letu hayataletwa na Teuzi za watu wetu uko Caf.
Kunahitajika viongozi safi wenye kuweza kushawishi uwekezaji na mazingira rafiki katika mpira wetu.
Punguza makasiriko acha watu wafanye kaziTuacheni ushamba, kamati zoote za CAF wajumbe au viongozi wake wanatoka katika FA za nchi mbalimbali Afrika. Tumekua na wajumbe katika kamati za CAF tangu Enzi za Said Elmaamly, Leodigar Tenga n.k Tena wajumbe wa kudumu achana na awa ambao Leo unateuliwa kesho katibu wa CAf akiwa mwingine unaondolewa.
Lakini hiyo yote haijawahi kubadili kiwango Cha mpira wetu. Mabadiliko ya Soka letu hayataletwa na Teuzi za watu wetu uko Caf.
Kunahitajika viongozi safi wenye kuweza kushawishi uwekezaji na mazingira rafiki katika mpira wetu.
Ni taarifa tu mkuu kama zilivyo taarifa za Mamlaka ya Hali ya Hewa, ambazo huwa zinatujulisha tujiandaeSo what!!!
Who cares!!! 🤗
Mwambie na GSM nae apenyeze pesa zake za magodoroMwamedi kapenyeza mpunga huko, hakuna miujiza
Ndio unajua leo hiyo yote haijawahi kubadili kiwango cha mpira wetu?!Tuacheni ushamba, kamati zoote za CAF wajumbe au viongozi wake wanatoka katika FA za nchi mbalimbali Afrika. Tumekua na wajumbe katika kamati za CAF tangu Enzi za Said Elmaamly, Leodigar Tenga n.k Tena wajumbe wa kudumu achana na awa ambao Leo unateuliwa kesho katibu wa CAf akiwa mwingine unaondolewa.
Lakini hiyo yote haijawahi kubadili kiwango Cha mpira wetu. Mabadiliko ya Soka letu hayataletwa na Teuzi za watu wetu uko Caf.
Kunahitajika viongozi safi wenye kuweza kushawishi uwekezaji na mazingira rafiki katika mpira wetu.
GSM nao watapenyeza mtaingia nanyiMwamedi kapenyeza mpunga huko, hakuna miujiza
Na wanamkubali pia Mrembo BarbaraKwa Tafsiri nyepesi,
CAF Wanamkubali Sana karia
Walioikata rufaa kesi ya nyani kwa jaji ngedere nadhan ujumbe tayar wameshaupata
Sent using Jamii Forums mobile app
gharibu na yeye si afanye hivyo ili tuwe watz wengu CAF.Mwamedi kapenyeza mpunga huko, hakuna miujiza