Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 22,455
- 32,981
BARAZA LA WAZEE KABLA YA TANU
Angalia hiyo picha hapo chini:
Mbele kulia wa kwanza waliokaa: Clement Mohamed Mtamila, wa tatu Sheikh Suleiman Takadir.
Katikati aliye kati ni Jumbe Tambaza na waliosimama wa kwanza kushoto ni Said Chamwenyewe.
Mzee Said Chamwenye ndiye aliyetumwa na Abdul Sykes kwenda Rufiji akiwa na Register Book na kadi za TANU kutafuta wanachama wa kwanza wa TANU.
Uamuzi huu ulichukuliwa baada ya Julius Nyerere Rais wa TANU kujaribu kusajili chama kwa na msajili akakataa kuisajili TANU kwa madai kuwa ati TANU haikuwa na Register Book inayoonyesha orodha ya wanachama wake.
Kazi ya kusajili TANU walikadhibiwa watu watatu Abdulwahid na Ally Sykes na Julius Nyerere.