Kila apandalo mtu, ndilo huvuna.Habari wana jamii JF, Taarifa zilizonifikia toka juzi kuwa Baraka yuko hoi hajitambui(ICU) inchini Kenya baada ya kumeza kete za madawa. Safari yake Ilikuwa kutoka Kenya kwenda South Africa, alijisahau akaanza kunywa bia ndipo Hali ikabadilika Sana, Kumbe hata kuachana na mpenzi wake kisa madawa na kutoka Rock star sababu alijiingiza Kwenye madawa walimkataza lakini kijana wapi haelewi Kabisa mpaka alitaka kuuza nyumba yake iliyoko jijini mwanza maeneo ya nyamongolo. Unajua wanamziki wanahalibiwa na jamaa hawa wa clouds [emoji343] na [emoji342] jamani pesa tutafute kihalali asante. #
INATOSHA SASA TUSHABEBA SANA UNGA SHIDA YETU MCHELE SO TUBEBESHENI MPUNGA.Habari wana jamii JF, Taarifa zilizonifikia toka juzi kuwa Baraka yuko hoi hajitambui(ICU) inchini Kenya baada ya kumeza kete za madawa. Safari yake Ilikuwa kutoka Kenya kwenda South Africa, alijisahau akaanza kunywa bia ndipo Hali ikabadilika Sana, Kumbe hata kuachana na mpenzi wake kisa madawa na kutoka Rock star sababu alijiingiza Kwenye madawa walimkataza lakini kijana wapi haelewi Kabisa mpaka alitaka kuuza nyumba yake iliyoko jijini mwanza maeneo ya nyamongolo. Unajua wanamziki wanahalibiwa na jamaa hawa wa clouds [emoji343] na [emoji342] jamani pesa tutafute kihalali asante. #
Saa tano na dakika ishirini na Mbili usiku.23:22pm ndo nini hii mkuu?
unajisikiaje mshikaji wako hazard kuihama Chelsea?Daaa nasikiliza "bora iwe" hapa...aiseee jamaa anajua sana asife kwanza bado tunamdai
hapana nivumilie na ruby aliimba kama anakufaHuyo msukuma haji kutoa single kama Siachani nawe!!..
[emoji23] kinje huni la kima cha juu hilo.Nakumbuka mwili wa Marehemu Mangwea baada ya jeneza kutua tu airport mtu wa kwanza kushika jeneza alikua ni Kinje Ngombare Mwiru.
Akili kumkichwa.
Ho Nene wamayo sakasaka mao . Diamond anafanya kazi nzuri japo anapigwa Vita Sana lakini watu wananufaika kiuchumiOnani oh nene...chu olibhebhe ! Teh teh. Avatar zingine buana!
Hawa vijana baadhi yao katika tasnia ya sanaa, wanahusishwa sana na hizo kashifa.
Inafaa wamulikwe na kuchukuliwa hatua kwa wanaohusika.
Mda huo mboga1 vip?23:22pm ndo nini hii mkuu?
Huyo Sio msukuma japo kazaliwa mwanza pale usitawi lakini niwajaluo lakini sijui yy anajiita msukuma Ama mjaruo ndo maana interview yake ya mwisho walimuhoji ww Utakuwa raia wa wap? Kenya au Tz hakunyambua vizuriHuyo msukuma haji kutoa single kama Siachani nawe!!..
Clouds huwajui ww Sana Ngoja nitaweka full movie yao utashangaa mpaka watumishi wake kuwa wanajihusisha maswala ya ushogaClouds wanaingiaje hapo sasa.Kukamatwa akamatwe mwingine,lawama apewe mwingine,vijana tutafuteni hela tusipende shortcut hizi.
Chuki tusasa clouds imeingiaje hapo
Akili mandazi hizi.Clouds huwajui ww Sana Ngoja nitaweka full movie yao utashangaa mpaka watumishi wake kuwa wanajihusisha maswala ya ushoga
Najisikia kama sergio hapo....c. pulisicunajisikiaje mshikaji wako hazard kuihama Chelsea?
siachani aliimba kwa hisia sana bila collabo yoyote!!..hapana nivumilie na ruby aliimba kama anakufa