jiji la Arusha ni ndogo ukilinganisha na majiji mengine kuna barabara chache zinazoingia mjini kati na kati ya barabara hizo ziko zinazokera kuzitumia kutokana na foleni zinazosababishwa na daladala kujitawala barabarani kama vile sheria hakuna
kwa mfano--barabara inayotoka makao mapya kwenda posta ya meru
kuna daladala za ngaramtoni zinaacha kupakilia abiria ndani ya stand ndogo na kupakilia abiria nje barabarani na mara nyingi husababisha foleni ndefu,
barabara hiyohiyo ikifika posta kuna daladala kwa makusudi hupakia abiria kwenye kona na kuzuwia magari mengine yanayotaka kuingia uhuru road, inakera sana hii
barabara inayotoka stand ndogo kupitia Anex kwenda miazini kwa makusudi daladala hupakilia abiria kwenye kona na kusababisha foleni kubwa kwa barabara zote zinazokutana pale.
barabara ya uhuru kwenda mbauda kwa makusudi daladala hupakia abiria katkati ya barabara maeneo na kusababisha foleni kwa magar yanayowai trafic light za esso
ukienda kule kwa morombo ndio kabisaa daladala hupakia abiria katikati ya barabara bila wasiwasi
kwa kweli hizi barabara zinakera sana yaani kama uko na mgonjwa kwenye gare anaweza kupoteza maisha ukiwa kwenye foleni hizi zinazosababishwaa daladala
ivi yuko wapi mkuu wa trafic Arusha?
mbona hatuoni kazi yako kama wakuu wengine waliokutangulia
mbona kuna trafic mmoja apa Arusha anayo maarifa sana ya kuwanyoosha awa madereva wakorofi, kwa nini musimweshe uyu askari Malisa atuoshe hiz barabara