Barabara ya Mwanza Mjini mpaka Nyegezi imekuwa ni kero kwa muda mrefu kiukweli kwa wakazi wa Mwanza na wengine wanaopita kuitumia.
Hii barabara ni mbovu inasababisha foleni hasa maeneo ya Mkuyuni, hili limechangiwa sana na Mkandarasi JASCO ambae tangu Januari 2025 alimwaga kifusi kwa ajili ya marekebisho ya barabara hiyo lakini hakuna kinachoendelea, imeachwa hadi leo.
Daraja la Mkuyuni ambalo lipo katika barabara hiyo nalo ni dogo, haliwezi kuhimili maji hasa wakati wa mvua.
Viongozi wetu wapo na wanaangalia tu kinachoendelea, nafikiri ni kwa sababu wao wakipita wanapigiwa ving'ora, so hawajali adha ambayo Wananchi tunakutana nazo.
Kiukweli ndugu wana JF tusaidiedi tunateseka.
Na hii ndo barabara kuu ya Mwanza Dar
Kiukweli bara Bara hii haifai