dah, hiyo ndo kazi za wahandisi bhana. we do possibolize the impossibility to be possible. kwa wale mliosoma engineering ethics <MT 400> Mnamkumbuka prof mwamila na zile slide zake? kitu kama hii ilikuwemo....
Somanga tu inatushinda....hii bongo bana, mie nishawahi kuiona barabara ya ajabu huko india, yaani ile ingekuwa huku bongo nadhani hamna gari ambayo ingefika kule juu!!