Nimepita juzi tu,barabara ni zuri tu
kutoka bukoba hadi muleba lami tayari karibia kuingia lusahunga wanamalizia kutandika lami
kama unataka kusafiri barabara ni nzuri tu ila kuna vipande humo kati kati havijamalizika ipasavyo
kwa miezi miwili au 3 usafiri wa kutoka ugandfa,bukoba,muleba,biharamulo,chato,geita au kahama utakuwa bombaaaaaa