Wakuu heshima kwenu
kesho naelekea arusha kwa gar ya magazet asubh sana so by sa11 ntakuwa nimefka
naomba tujuzane ni bar gan arusha mjin ina watoto wazur ili nisiwe bored ntakpokuwa huko.
ahsanteni kwa michango yenu wote
TOGETHER TUNAWAKILSHA Mapuunda

Nenda makalio bar. Ila uwe na kitegua mabomu.
cc Arushaone
Mimi huwa nawaitaga kachumbari ya bia.Pambo la bar ni mabarmaid
Mimi huwa nawaitaga kachumbari ya bia mkuu.Pambo la bar ni mabarmaid