halfcastmangi
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 627
- 1,675
Tafuta namna wewe na meneja mgawane makoloni kuepusha jam ambayo haina haja ya kufika kwa mmiliki
Kwa ulichokiandika utaendelea kupigwa, wewe wachezee tu mabinti wa kihehe utajua Iringa siyo Dar.Wadau habari,
Hii bar ina jina zuri sana la kuhanikiza jitihada za raisi wetu mpendwa Dar Samia katika suala la utalii ila ina hudumqa za hovyo sana, nyakati za usiku haswa jumatatu meneja huwa hayupo, pili wahudumu ni wakorofi sana isipokuwa kaunta wao,
juzi nimepigwa na kiti na muhudumu ile kumuambia tu, akasema kama umeumia pole kama bado acha uchawa, mpaka wahudumu wenzake wakamsema sana mbele yake, ile kuuliza muhudumu meneja yupo wapi? Nikaambiwa hayupo, mwingine akasema kaka hii bar wahudumu wana nguvu kuliko mwenye baa, nikauliza kwanini, nikaambiwa wahudumu wote mboga ya meneja. Hili suala sio afya kwa bar kubwa kama hii iringa mjini.
Ombi, mmiliki wa bar hii akae naeneja wale, inaonekana meneja anakula kondoo wake, manake kuna siku saa 9 usiku naambiwa meneja katoka na mhudumu.
Tunaipenda hii bar ila mmiliki aipange upya sivyo atabaki yeye na wahudumu tu.
Tatizo ni huo muda mnaohudumiana.Huwa unakuwa mtu kweli au unabakia kuwa kiumbe tu?Kwa nini muda mwingine wawe sawa ila ikifika saa tisa na mambelembele wawe wakorofi?Je,ni uchovu,usumbufu wa walevi au mashindano ya misuli minene tu?Wadau habari,
Hii bar ina jina zuri sana la kuhanikiza jitihada za raisi wetu mpendwa Dar Samia katika suala la utalii ila ina hudumqa za hovyo sana, nyakati za usiku haswa jumatatu meneja huwa hayupo, pili wahudumu ni wakorofi sana isipokuwa kaunta wao,
Juzi nimepigwa na kiti na muhudumu ile kumuambia tu, akasema kama umeumia pole kama bado acha uchawa, mpaka wahudumu wenzake wakamsema sana mbele yake, ile kuuliza muhudumu meneja yupo wapi? Nikaambiwa hayupo, mwingine akasema kaka hii bar wahudumu wana nguvu kuliko mwenye baa, nikauliza kwanini, nikaambiwa wahudumu wote mboga ya meneja. Hili suala sio afya kwa bar kubwa kama hii iringa mjini.
Ombi, mmiliki wa bar hii akae naeneja wale, inaonekana meneja anakula kondoo wake, manake kuna siku saa 9 usiku naambiwa meneja katoka na mhudumu.
Tunaipenda hii bar ila mmiliki aipange upya sivyo atabaki yeye na wahudumu tu.
Muhudumu na muhudumiwa wapo njwiii!Kuna suluhu hapo?Hili tatizo ni kubwa sana, RC na Waziri hawaliwezi lifikisheni kwa Makonda mwenyewe
Walevi wengine hamnazo, yaani mnagombea barmaid kweli? Hadi unapigwa na kiti upo tuu unatafuta meneja! Iringa mabaa mazuri yamejaa kwanini usiende huko badala ya kuja humu jf?Wadau habari,
Hii bar ina jina zuri sana la kuhanikiza jitihada za raisi wetu mpendwa Dar Samia katika suala la utalii ila ina hudumqa za hovyo sana, nyakati za usiku haswa jumatatu meneja huwa hayupo, pili wahudumu ni wakorofi sana isipokuwa kaunta wao,
Juzi nimepigwa na kiti na muhudumu ile kumuambia tu, akasema kama umeumia pole kama bado acha uchawa, mpaka wahudumu wenzake wakamsema sana mbele yake, ile kuuliza muhudumu meneja yupo wapi? Nikaambiwa hayupo, mwingine akasema kaka hii bar wahudumu wana nguvu kuliko mwenye baa, nikauliza kwanini, nikaambiwa wahudumu wote mboga ya meneja. Hili suala sio afya kwa bar kubwa kama hii iringa mjini.
Ombi, mmiliki wa bar hii akae naeneja wale, inaonekana meneja anakula kondoo wake, manake kuna siku saa 9 usiku naambiwa meneja katoka na mhudumu.
Tunaipenda hii bar ila mmiliki aipange upya sivyo atabaki yeye na wahudumu tu.
Malaya wa bar mara nyingi huwa sio wa mkoa husika wanatoka mikoa tofauti tofauti na huwa hawadumu miezi sita bar mojaKwa ulichokiandika utaendelea kupigwa, wewe wachezee tu mabinti wa kihehe utajua Iringa siyo Dar.
Watakapokupiga ndipo utawajua kama ni malaya au wahudumu, mtu kalala baridi wewe unamletea za kuletwa, Iringa siyo Dar shauriyako.Malaya wa bar mara nyingi huwa sio wa mkoa husika wanatoka mikoa tofauti tofauti na huwa hawadumu miezi sita bar moja
Wakati wa makuzi yangu ili kuwa ni marufuku kurudi kushitaki nyumbani kuwa nimepigwa, kauli zilizokubalika ni kuwa nimepigana, nimepiga ivo yaani kauli zisizo za kinyonge. Katika nyakati hizi ndo natambua kwa nn nilikuwa naelezwa hvyo!!Wadau habari,
Hii bar ina jina zuri sana la kuhanikiza jitihada za raisi wetu mpendwa Dar Samia katika suala la utalii ila ina hudumqa za hovyo sana, nyakati za usiku haswa jumatatu meneja huwa hayupo, pili wahudumu ni wakorofi sana isipokuwa kaunta wao,
Juzi nimepigwa na kiti na muhudumu ile kumuambia tu, akasema kama umeumia pole kama bado acha uchawa, mpaka wahudumu wenzake wakamsema sana mbele yake, ile kuuliza muhudumu meneja yupo wapi? Nikaambiwa hayupo, mwingine akasema kaka hii bar wahudumu wana nguvu kuliko mwenye baa, nikauliza kwanini, nikaambiwa wahudumu wote mboga ya meneja. Hili suala sio afya kwa bar kubwa kama hii iringa mjini.
Ombi, mmiliki wa bar hii akae naeneja wale, inaonekana meneja anakula kondoo wake, manake kuna siku saa 9 usiku naambiwa meneja katoka na mhudumu.
Tunaipenda hii bar ila mmiliki aipange upya sivyo atabaki yeye na wahudumu tu.
Mangi vipi tena !?Wadau habari,