Zoezi la uzimaji wa moto likiendelea katika Bar ijulikanayo kwa jina la Board Room iliyopo Sinza Mori ambapo baadhi ya maeneo ikiwemo Nyumba vya kulala wageni vimeteketea kwa moto huku chanzo kikiwa bado hakijafahamika.