Bahati mbaya kila mtu siku hizi ni Mchambuzi wa soka ndio maana mijadala imekuwa mingi kwenye vitu ambavyo viko wazi kabisa...Bao la Baleke sio Offside!
Labda mjadala ingekuwa performance ya Yanga hii leo na kiwango cha Khalid Aucho ningeelewa zaidi...
Mjadala ungekuwa nyakati za ubora wa Yanga kuanza kuondoka ningeelewa...