Ilole Member Joined May 13, 2014 Posts 16 Reaction score 1 Jul 11, 2014 #1 Habari JF, Nahitaji kufungua account ya benk ambayo ina huduma nzuri, ya kuaminika, na inayoweza kupokea na kutuma pesa nje ya nchi bila usumbufu na makato makubwa. Naombeni mnijuze na sh ngapi kufungua, asanten
Habari JF, Nahitaji kufungua account ya benk ambayo ina huduma nzuri, ya kuaminika, na inayoweza kupokea na kutuma pesa nje ya nchi bila usumbufu na makato makubwa. Naombeni mnijuze na sh ngapi kufungua, asanten