Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,054
- 4,116
Habari wadau natumaini ni wazima
Nianze moja kwa moja na mada kama kichwa cha habari hapo juu
kadiri siku zinavyokwenda na watumiaji wa mitandao wanaongezeka lakini hawa wenzangu bank ya crdb naona wapo nyuma kidogo kuboresha huduma zao za kupurchase mtandaoni nachosema na hata ukipitia uzi mbalimbali humu utakubalina na mimi
moja ya matatizo niliyokutana nayo muda mrefu mpaka sasa hayafanyiwi kazi haya hapa
1.ukilipia pesa kwa paypal ile pesa haikatwi muda huo yani bank hawaruhusu itoke kwa wakati hivyo unakuwa unashindwa kuelewa pesa iliyokatwa ni kiasi gani na iliyobaki ni kiasi gani sababu ukiangalia salio unakuta bado lipo vile vile
2.unaweza kuwa na salio kwenye account lakini ukitaka kufanya malipo mtandaoni inashindikana kunakuwa na usumbufu mara ufike tawi letu kwa msaada na hii huwa ni mara kwa mara
3.mimi card ya crdb nilikuwa naitumia tu kufanya malipo online sasa kama card haina kitu ukitaka kununua bidhaa inabidi tena uwe na ile elfu ya kumi ya inayotakiwa kubakia kwenye account nilishawahi kukutana na hii kitu nataka ninunue bidhaa ya bei dolla 50 nakuta naambiwa sijui salio halitoshi inabidi elfu kumi ibakie kwenye account sasa nikawa najiuliza inamana malipo niliyofanya mara ya kwanza ndo wakakata hadi pesa inayobakia kweny account niliishia kuboreka tu siku ile
Ushauri wangu tu mngekuwa na card yakufanya malipo tu mtandaoni mana naona kama inakuwa usumbufu
Mana leo tena nilikuwa nataka ninunue kitu nimeweka kabisa salio la malipo nalotaka kulipia huduma mtandaon naona tena inakuwa declined nawauliza wanaishia tu kuniambia ongeza hela bila maelezo mengine
Nikaona isiwe tabu nikalipia kwa bank abc kupitia mpesa master card ambao wapo fasta bila longo longo na kiasi wanachokuwa wanakata wanakwambia kabisa