Tanzania tumetumia kiac kikubwa kufanya mchakato wa kupata katiba mpya na muda pia. Imepitia taratibu zote kwa mujibu wa sheria iliyoundwa. Na lengo siyo kuona katiba kutopatikana ndiyo mana wanahamasisha ili wananchi waipigia ndiyo na wenye macho wa kuona fursa wachangamkie. Hata iwe wewe umlee mtoto kwa gharama kubwa na umpeleke shule ya gharama kubwa, utafurahi kuona mwanao akifeli???
Katiba inapendekezwa, ni neno gumu kueleweka kwa watu sasa.
Tanzania tumetumia kiac kikubwa kufanya mchakato wa kupata katiba mpya na muda pia. Imepitia taratibu zote kwa mujibu wa sheria iliyoundwa. Na lengo siyo kuona katiba kutopatikana ndiyo mana wanahamasisha ili wananchi waipigia ndiyo na wenye macho wa kuona fursa wachangamkie. Hata iwe wewe umlee mtoto kwa gharama kubwa na umpeleke shule ya gharama kubwa, utafurahi kuona mwanao akifeli???
In this case hakuna sababu ya kuletwa kwetu sasa kama gharama na muda umetumika, kikubwa ni kuisoma na kuilewa na kupiga kura ya NDIO au HAPANA bila kushurutishwa na mtuTanzania tumetumia kiac kikubwa kufanya mchakato wa kupata katiba mpya na muda pia. Imepitia taratibu zote kwa mujibu wa sheria iliyoundwa. Na lengo siyo kuona katiba kutopatikana ndiyo mana wanahamasisha ili wananchi waipigia ndiyo na wenye macho wa kuona fursa wachangamkie. Hata iwe wewe umlee mtoto kwa gharama kubwa na umpeleke shule ya gharama kubwa, utafurahi kuona mwanao akifeli???
Tanzania tumetumia kiac kikubwa kufanya mchakato wa kupata katiba mpya na muda pia. Imepitia taratibu zote kwa mujibu wa sheria iliyoundwa. Na lengo siyo kuona katiba kutopatikana ndiyo mana wanahamasisha ili wananchi waipigia ndiyo na wenye macho wa kuona fursa wachangamkie. Hata iwe wewe umlee mtoto kwa gharama kubwa na umpeleke shule ya gharama kubwa, utafurahi kuona mwanao akifeli???
wewe cha kufanya ni kuisoma hiyo rasimu na kufanya maamuzi,itakufaa kama Mtanzania au la?..siku ya kupiga kura utajua nini cha kufanya...ofcourse wao watasema uipigie kura cz wanaiona perfect,they made it..sasa it is up to you kuona kama kweli itakufaa,nawashangaa wanaowaambia watu wakapige kura ya hapana,na mtu kukubali bila hata kuishika hyo rasimu,tusisikilize maneno ya watu,mtu ukiipata isome na mkae watu muichambue na kuielewa,or else itakula kwetu mazima
Naona hazikutoshi ww; kaazime nyngne kwa jiran yako; Kwa hiyo kura ya NDIO hata kama hujaipitia rasim ni sawa lkn YA HAPANA bila kuipitia rasimu si sawa; utakua umetumwa afu umesahau wslichokutuma