Bango gani la Lowassa Limekuvutia?

Nimeangalia hilo bango la mama salma kwenye blog ya CDM nimecheka sana.
 
Mwisho wa mabango ni mwisho wa oktoba
 
"unashangaa lowassa kupanda daladala, mbona twiga kapanda ndege"
 
Teh teh teh! Marashi?! Hatariii ... Wanafurahisha sana hawa vijana.
 
Sijawahi ona bango kwenye mikutano ya Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…