nieleweshe na mm mkuu
Kwanini watu wanavuta kitu cha Arusha afu wanawehuka hivyo? mbona hiyo ina ustaarabu wake. Inakupeleka jinsi wewe unavyojipeleka.............A nuh mi fi like it...............gotta chill
Hebu tufundishe huo ustaarabu wa kitu cha Arusha basi
Si nshakujibu hapo soma kwenye post yangu nimesema inakupeleka jinsi unavyojipeleka sa huo ndio ustaraabu wenyewe
i am just curious
basi ni pm unijibu
Kuna vitu unavi suppress .....
sababu ya ndoa i guess...
ndo unajikuta so bored and so lonely.....
Natafuta mahali alipotaja mwaka wala sipaoni..... mkuu au chuo cha kodi kilifungwa kabla ya ujio wa bajaji?
usije ukasema na mimi nimepata kitu cha Arusha, mawani yangu haya wakati mwingine huchagua maneno ya kusoma...LOL