Geoffrey baraza
Member
- Jun 4, 2012
- 12
- 2
Kulikuwa na wavuta bangi wawili ambao walikuwa wanackia njaa xana! katika pilka pilka za kutembea wakaona mti wa maembe wenye maembe mabivu! Wavuta bangi hao hawakuslek wakaanza kupura kupura kupura mvuta bangi mmoja akamwambia mwenzake mwanagu e minadanda nimechoka kupura akadanda vizuri akalishika lile embe na kuona kuwa limeiva akashuka na kumwambia mwezake 2endele kupura limeiva mwezake naye hakukubali kadanda naye na ku2nda badala ale akaanza kupuria maembe megine nani mjinga kati ya hawa?