Bandarin Dar balaa

mbwimbwi

Member
Oct 14, 2014
57
9
Rudisheni mfumo wazamani kama mnashindwa kwendana na kasi ya Mh, mtatuumiza ss wa Gari moja moja
 
Unategemea upate msaada kwa uandishi huo...!!? Labda kama ulikuwa unajaribu kuanzisha uzi ili uone mwitikio wa watu...!!



Tafakari...!!
 
Nashukuru kwa taarifa mkuu jana kidogo nigombane na clearing agent nimelipa kila kitu zaidi ya wiki nashangaa gari haitoki jana kali zaidi ananletea kadi ya gari wakati gari bado haijatoka huko bandarini nkajua anantengenezea mazingira anipige ela
 
Back
Top Bottom