Bandari ya Tanga isisahaulike

Bandari ya Tanga isisahaulike

Bijou

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
1,249
Reaction score
360
Tunatoa pongezi kubwa kwa Waziri Mkuu kuweza kufichua madudu ya Bandari ya Dar, ushauri tu hebu wapitie Na Bandari ya Tanga, nayenyewe ni jipu kubwa
 
Wadau njooni mdadavue
 
Tunatoa pongezi kubwa kwa Waziri Mkuu kuweza kufichua madudu ya Bandari ya Dar, ushauri tu hebu wapitie Na Bandari ya Tanga, nayenyewe ni jipu kubwa
Wakienda huko watakutana na kero za vibarua wanaofanya kazi miaka na miaka hawaajiriwi wanaenda kuajiriwa watu wengine
 
Back
Top Bottom