naona kuna floods
Mafuriko yako nchi nyingi sana. Hizo ni natural disasters ambazo haziezi kuepukwa. Hata nchi zilizoendelea hawawezi kukumbana nazo. Nchi haitaweza kusema hawajengi sababu mafuriko huja, ama tornado, ama tetemko la ardhi ama hurricanes. Ujenzi lazima uendelee so sikuelewa pointi yako hasa ni nini. Hata tukijenga mitaro ya maji bado mama nature akiamua kunyesha bila kusimama bado mafuriko yatakuwa. Tupende tusipende.