Bossman, Mwakyembe huwa anapita humu. Nina imani amewasikia na atafanya follow upKamishna mkuu. mbona kuna watu kompetenti na devoted wengi tu hapa Tz. kwa nini unakumbatia wafanyakazi hasa bandarini wanaotia taifa aibu. Kazi hawajui lkn ukitaka akague mzigo wanajivuta kama ... wanakwenda kukagua maiti. muda wote wako wanachati kwenye simu. hivi TRA kuna viongozi au ni nini mbaya na TRA
Bossman, Mwakyembe huwa anapita humu. Nina imani amewasikia na atafanya follow up
Mwakyembe hahusiki na TRA ndio maana TRA kuna pwaya. Hii wizara angekamata bossman Mwakyembe au Magufuli au Lowasa mngeweza kunikonvinc kwamba big rizalt inawezekana. lkn kwa sasa tulie tu
Hata mheshimiwa (JK) nasikia huwa anapita sana humu kujua kero za wananchi wake. Nina imani atalifuatilia hili.Mwakyembe hahusiki na TRA ndio maana TRA kuna pwaya. Hii wizara angekamata bossman Mwakyembe au Magufuli au Lowasa mngeweza kunikonvinc kwamba big rizalt inawezekana. lkn kwa sasa tulie tu
Hata mheshimiwa (JK) nasikia huwa anapita sana humu kujua kero za wananchi wake. Nina imani atalifuatilia hili.
...TRA ni vimeo vitupu! ndiyo maana Blandina Nyoni karudishwa huko!
Hata mheshimiwa (JK) nasikia huwa anapita sana humu kujua kero za wananchi wake. Nina imani atalifuatilia hili.
Aaaa wapi huyu anapatikana chit chat, huku kulishamshinda
watanganyika bwana! Hii serikal mliichagua wenyewe 2010 mkidai ni xikivu na makini, xaxa kelele za nini? Tatizo lenu watanganyika mnataka kuvuna mihogo kwenye shamba la miwa.
Huyo Jerry nini maana ndo alikua Yanga sana!!!na alikua TRA!!!teehteehteeh.Yuko kijana mmoja seneta wa yanga alikua TRA anakaa tabata Dar. jina limenitoka kidogo. enzi hizo yuko TRA alikua anakunywa heineken. leo hii amechoka anabom hadi mnazi. maringo ya nini vheo ni dhamana.