Bandari ndio dar es salaam. ..!

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
​
Na jina Dar es Salaam linatokana na ' Bandar el Salaam' kwa maana ya ' Heaven of Peace'. Sultan Majid ndiye aliyenga bandari ya Dar es Salaam mwaka 1866. Ni bandari kongwe. Na bandari ni uchumi wa nchi. Afrika ukiona bandari inayumba, basi, na uchumi wa nchi nao utayumba. Na wezi wakipewa bandari waiongoze, basi, ni sawa na kuwakabidhi panya kazi ya kulinda ghala la mahindi. Utaambulia pumba.
Maggid.
Dar es Salaam.(P.T)
 
Santee kwa historia hii na mafundisho yaliyomo ndani yake.
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…