supermarket JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 7,453 Reaction score 10,968 Dec 14, 2016 #21 iparamasa said: Ngoja tuone,nasikia waliopelekwa pale wrote ni suti nyeusi Click to expand... Itasaidia sana maana taarifa zitapenya moja kwa moja mpaka kwa mkuu, hakutakuwa na "wapiga dili" si unajua Tanzania hii kila kitu dili!!
iparamasa said: Ngoja tuone,nasikia waliopelekwa pale wrote ni suti nyeusi Click to expand... Itasaidia sana maana taarifa zitapenya moja kwa moja mpaka kwa mkuu, hakutakuwa na "wapiga dili" si unajua Tanzania hii kila kitu dili!!
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,204 Reaction score 99,943 Dec 14, 2016 #22 Fukuza, timua, pindua, weka huyu, ondoa yule, mwaka ukaisha. wa Pili, mchezo ule ule
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,676 Reaction score 126,845 Dec 14, 2016 #23 Tena ifumuliwe haswa, mpaka mlinzi ni boss hapo. Hongera Rais
ISIS JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 96,072 Reaction score 858,572 Dec 14, 2016 #24 supermarket said: Itasaidia sana maana taarifa zitapenya moja kwa moja mpaka kwa mkuu, hakutakuwa na "wapiga dili" si unajua Tanzania hii kila kitu dili!! Click to expand... Kwa kweli itasaidia sana
supermarket said: Itasaidia sana maana taarifa zitapenya moja kwa moja mpaka kwa mkuu, hakutakuwa na "wapiga dili" si unajua Tanzania hii kila kitu dili!! Click to expand... Kwa kweli itasaidia sana
ISIS JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 96,072 Reaction score 858,572 Dec 14, 2016 #25 Babati said: Tena ifumuliwe haswa, mpaka mlinzi ni boss hapo. Hongera Rais Click to expand... Huyu rais wetu katoka kwa MWENYE ENZI MUNGU . ..
Babati said: Tena ifumuliwe haswa, mpaka mlinzi ni boss hapo. Hongera Rais Click to expand... Huyu rais wetu katoka kwa MWENYE ENZI MUNGU . ..
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 40,525 Reaction score 46,612 Dec 14, 2016 #26 Wapelekwe mahakamani
Ngigana JF-Expert Member Joined Apr 16, 2010 Posts 2,108 Reaction score 1,449 Dec 14, 2016 #27 Elli said: Fukuza, timua, pindua, weka huyu, ondoa yule, mwaka ukaisha. wa Pili, mchezo ule ule Click to expand... Ikawa jioni ikawa asubuhi siku, mwezi , mwaka wa kwanza!🙁
Elli said: Fukuza, timua, pindua, weka huyu, ondoa yule, mwaka ukaisha. wa Pili, mchezo ule ule Click to expand... Ikawa jioni ikawa asubuhi siku, mwezi , mwaka wa kwanza!🙁
Isike Moses JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 2,788 Reaction score 4,245 Dec 14, 2016 #28 Waajiri makada, wanaijua ilani ya chama vizuri na ndiyo inayotekelezwa. KADA
edu88 JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 692 Reaction score 516 Dec 14, 2016 #29 Habari njema kwa wapenda mabadiliko. Bandari inabidi kusafishwa kabisa.
kashande JF-Expert Member Joined Aug 18, 2016 Posts 440 Reaction score 282 Dec 15, 2016 #30 iparamasa said: Ngoja tuone,nasikia waliopelekwa pale wrote ni suti nyeusi Click to expand... ngoja tuone suti nyeusi zitafanyaje maana nazo huwa zina njaa na ni rahisi baadhi zao kubadilishwa RANGI
iparamasa said: Ngoja tuone,nasikia waliopelekwa pale wrote ni suti nyeusi Click to expand... ngoja tuone suti nyeusi zitafanyaje maana nazo huwa zina njaa na ni rahisi baadhi zao kubadilishwa RANGI
Ndahani Platinum Member Joined Jun 3, 2008 Posts 18,158 Reaction score 9,168 Dec 15, 2016 #31 This is more than serious...mpaka makada wanasambaratishwa?