Banda zuri la biashara linauzwa

Aslan127

Member
Joined
Apr 6, 2020
Posts
76
Reaction score
170
Banda zuri linauzwa:
[emoji93] Linafaa kwa biashara mbalimbali Kama nguo za kiume au za kike, viatu vya kiume au vya kike, nguo za ndani, M-PESA, nk
[emoji93] Lipo Ubungo mabibo hostel kwa ndani kidogo.
[emoji93] Banda ni futi sita kwa sita (6x6)
[emoji93] Linabebeka kiurahisi kwa Kirikuu.
[emoji93] Unapewa na mlango wa aluminium na vioo vyake.
[emoji93]Ukitaka banda peke yake bila mlango wa aluminium au mlango wa aluminium bila banda maongezi yapo.
[emoji93] Bei ni 950,000 (maongezi yapo)
[emoji93]Kwa mawasiliano zaidi :0628443946(simu ya kawaida) au 0762370433 (WhatsApp).

KARIBUNI SANA

 
me nataka iyo chupi yenye les singap??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…