banda linauzwa lipo maeneo pazuri

banda linauzwa lipo maeneo pazuri

allysultani

Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
46
Reaction score
3
Banda linauzwa lipo maeneo ya mbagala,banda lina vyumba vinne kwa vitano na sehemu kubwa ya uwanja banda lipo maeneo pazuri gari inafika mpaka uwanjani.
Wasiliana nami 0656 25 18 74..
 
Banda linauzwa lipo mahala pazuri gari inafika mpaka uwanjani banda lina vyumba vinne kwa vitano na sehemu kubwa ya kiwanja wahi bahati yako
Wasialiana nami: 0656 25 18 74
Au 0719 37 96 70. Ahsante
 
Bei kaka
Ikiwezekana na picha ya hilo banda tafadhali.
 
kuna mradi mkubwa wa maji unakuja nyumba zote zilizo juu ya bomba la maji zinabomolewa hilo banda liko umbali gani
 
nitumie salio nikupigie au fafanua zaidi kibiashara
 
Banda linauzwa lipo mahali pazuri.lina vyumba vinne kwa vitano na sehemu kubwa ya kiwanja.banda lipo mbagala kizuiani gari inafika mpaka uwanjani. Wasiliana nami: 0656 251874 ahsante.
 
Banda linauzwa lipo mahali pazuri.lina vyumba vinne kwa vitano na sehemu kubwa ya kiwanja.banda lipo mbagala kizuiani gari inafika mpaka uwanjani. Wasiliana nami: 0656 251874 ahsante.

Ni banda la kuhamisha ama ni pamoja na kiwanja chake?
 
Jaman nikisema banda kwa mtu muelewa nadhan tushaelewana..banda yani ni nyumba ambayo ya kawaida. Ina vyumba vinne kwa vitano na eneo kubwa la kiwanja na lipo sehemu nzur ambapo hakuna matatizo ya kujaa maji wala mafuriko na liko kwenye mtaaa yaan gari inafika mpaka kwenye hilo banda. mawasiliano 0656 251874.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom