Mledi haswa
Senior Member
- Jan 17, 2013
- 161
- 172
Eneo la kulipiwa kodi , kwa mwezi ni 45,000. Store nalipa 20,000 na eneo la banda 25,000.banda linauzwa, na eneo ulipojengea banda ni eneo lako au panalipiwa kodi
Naweka , mtandao una shida naonaWeka picha
hmmm. umesema eneo la kulipiwa kodi ni 45000, bado tena eneo la banda 25000. hilo eneo la kulipia 45000 ni lipi sasaEneo la kulipiwa kodi , kwa mwezi ni 45,000. Store nalipa 20,000 na eneo la banda 25,000.
hmmm. umesema eneo la kulipiwa kodi ni 45000, bado tena eneo la banda 25000. hilo eneo la kulipia 45000 ni lipi sasa
Yeah ni 45,000.Nafikiri 45k ni jumla, yaani 20k+25k.... mi nimeelewa hivyo!
Hili banda lako poa sana mkuu.Banda liko MWANZA , chuo kikuu cha SAUT (MALIMBE)
Mkuu picha sihiyo hapo juuUmeambiwa uweke picha umeshindwa.
Kula 500k, hujasema kwa siku unauza viazi debe aua gunia ngapiHilo hapo kwa muonekano wa ndaniView attachment 1723497
Hesabu nzuri ni kwa trei za mayai , hua nauza 4 kwenda juu kutegemeana na siku , kwa 500k hapana mkuu , mwisho 1.5Kula 500k, hujasema kwa siku unauza viazi debe aua gunia ngapi