Mgaa gaa upwa
Senior Member
- Jan 11, 2024
- 180
- 282
Chukua hiiChukua mkataba wako nenda BOT kuna kitengo cha malalamiko andika barua ipeleke wataitwa hapo.
Sidhani kama ana copy ya mkataba huo wa mkopo.Chukua mkataba wako nenda BOT kuna kitengo cha malalamiko andika barua ipeleke wataitwa hapo.
Lawama gani sasa wakati huo tayari ni mgogoro wa kimkataba. Acha ufalaWazo langu ilikuwa niwapeleke mahakamani Ila nimewaza huenda Kuna sehemu naweza kuanzia kuepusha lawama zisizo na msingi.
Msaada wa hatua za kuanzia...
Weka hapa kwa faida ya wengiNjoo inbox nikusaidie kuandika demand letter kuwapelekea
Mmmh! Kuwa mkataba uwe wa upande mmoja?Sidhani kama ana copy ya mkataba huo wa mkopo.
Kwa muda mfupi wanajua hawatapata faida ndio maana wanakuzungushaNi baada ya kuhangaika huku na huko bila kupata mkopo wa kuendeleza biashara yangu hatimae nikakutana na hii Banc ABC wakanipatia mkopo wa miaka miwili Ila kwa makubaliano kuwa nikipata pesa yao kabla ya huo muda naweza kulipa pesa yao tukaachana.
Kweli nilipambana kwa namna yangu na Hali yangu Hadi nikapata pesa yao baada ya miezi mitatu tu na biashara yangu inaendelea.
Tatizo limeanza pale niliporudi kwao Banc ABC kutaka balance yangu ili niwalipe tuachane.
Ni mwezi wa nne Sasa tangu niombe kulipa Deni kuanzia mwezi wa tano Hadi wa Tisa (mwezi huu) wananisumbua, hawataki kunipatia balance (kiasi kilichobakia).
Msaada tafadhari nifanyeje nilipe Deni?
Sitaki kudaiwa Ila wananilazimisha, Wazo langu ilikuwa niwapeleke mahakamani Ila nimewaza huenda Kuna sehemu naweza kuanzia kuepusha lawama zisizo na msingi.
Msaada wa hatua za kuanzia...
Duuhh, umesanua wengi hapa.Sidhani kama ana copy ya mkataba huo wa mkopo.
Nitalipaje wakati wamekataa kunipatia balance yangu?Kwa muda mfupi wanajua hawatapata faida ndio maana wanakuzungusha
Pambana kama inawezekana uwalipe
Hapa lazima Bank ifocus kwenye faida, pia kama Bank wana hicho kipengele kwenye mkataba kwanini wasimuambie badala yale wakae kimya kwa muda huu wote tangu aombe kulipaKama una uhakika kuna kipengele kwenye mkataba kinasema ukipata pesa yao kabla ya muda wa makubaliano unaweza kuwarejeshe, hapo hakuna tatizo. Changamoto ninayoiona ni kwamba, huenda mlikubaliana ukirudisha ndani ya muda mfupi, riba inabaki vile vile na wewe hutaki kuwalipa na riba ya 2 years in 3 months.
Tukumbuke mikopo ni biashara kwa mabenki na ndio faida yao, wanataka sana ukope kwa muda mrefu ili wapate riba mufti.
Hapana kuhusu riba walisema inapigiwa Ile ya muda niliorudisha siyo miaka miwili tena.Kama una uhakika kuna kipengele kwenye mkataba kinasema ukipata pesa yao kabla ya muda wa makubaliano unaweza kuwarejeshe, hapo hakuna tatizo. Changamoto ninayoiona ni kwamba, huenda mlikubaliana ukirudisha ndani ya muda mfupi, riba inabaki vile vile na wewe hutaki kuwalipa na riba ya 2 years in 3 months.
Tukumbuke mikopo ni biashara kwa mabenki na ndio faida yao, wanataka sana ukope kwa muda mrefu ili wapate riba mufti.
Kwani unavyofanya marejesho hutunzi kumbukumbu? Ulipochukua mkopo hukupewa mchanganuo wa gharama za mkopo pamoja na riba utakazolipa?Nitalipaje wakati wamekataa kunipatia balance yangu?
kuna wadau wamekuuliza copy ya mkataba hapo juuHapana kuhusu riba walisema inapigiwa Ile ya muda niliorudisha siyo miaka miwili tena.
Kila nikienda ofisini kwao wanadai taarifa hazijarejea kutoka makao makuu ya Banc ABCHapa lazima Bank ifocus kwenye faida, pia kama Bank wana hicho kipengele kwenye mkataba kwanini wasimuambie badala yale wakae kimya kwa muda huu wote tangu aombe kulipa