Ni kampuni yenye uzoefu katika kutoa huduma zifuatazo:-
1. Usafi wa maofisini, majumbani na maeneo mengineyo.
2. Huduma ya vibarua wa muda mfupi na muda mrefu.
3. Usambazaji wa vifaa vya maofisini (Stationary and office materials)
4. Usambazaji wa samani za maofisini ( Supply of Office Furniture's)
Tupo mtaa wa ndovu/nyamwezi, kitalu na.11. Kariakoo.