Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,713 Sep 29, 2013 #2 Linatumia petroli hilo gari au linaenda kwa pedali?
M.E.M.A JF-Expert Member Joined Jul 27, 2013 Posts 1,373 Reaction score 472 Sep 29, 2013 #3 Limekaa poa kweli. Huku kwetu ukilipaki mchwa lazima wakutende..na wale wanaotafuta shortcut za toothpick lazima wakutie hasara.
Limekaa poa kweli. Huku kwetu ukilipaki mchwa lazima wakutende..na wale wanaotafuta shortcut za toothpick lazima wakutie hasara.
kijiichake JF-Expert Member Joined Oct 13, 2010 Posts 284 Reaction score 58 Sep 30, 2013 #4 haha haha haha! bajaji
kijiichake JF-Expert Member Joined Oct 13, 2010 Posts 284 Reaction score 58 Sep 30, 2013 #5 M.E.M.A said: Limekaa poa kweli. Huku kwetu ukilipaki mchwa lazima wakutende..na wale wanaotafuta shortcut za toothpick lazima wakutie hasara. Click to expand... hasara haiepuki mtu wangu
M.E.M.A said: Limekaa poa kweli. Huku kwetu ukilipaki mchwa lazima wakutende..na wale wanaotafuta shortcut za toothpick lazima wakutie hasara. Click to expand... hasara haiepuki mtu wangu
M.E.M.A JF-Expert Member Joined Jul 27, 2013 Posts 1,373 Reaction score 472 Sep 30, 2013 #6 kijiichake said: hasara haiepuki mtu wangu Click to expand... Lakini hii ni ya kujitakia waziwazi. Hata mama ntilie hakawii kuchonga vikuni vya kuwashia moto hapo.
kijiichake said: hasara haiepuki mtu wangu Click to expand... Lakini hii ni ya kujitakia waziwazi. Hata mama ntilie hakawii kuchonga vikuni vya kuwashia moto hapo.
Mwanahisa JF-Expert Member Joined Jun 29, 2012 Posts 1,382 Reaction score 518 Sep 30, 2013 #7 Hili lingetumia ulanzi badala ya petroli ningesema kitu cha Two in One.