Balozi wa Tanzania nchini Uswidi, Mhe. Mobhare Matinyi akiwa pamoja na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Raddy Energy

Balozi wa Tanzania nchini Uswidi, Mhe. Mobhare Matinyi akiwa pamoja na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Raddy Energy

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
261
Reaction score
199
Balozi wa Tanzania nchini Uswidi, Mhe. Mobhare Matinyi (wa nne kutoka kushoto mstari wa mbele), akiwa pamoja na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Raddy Energy ya Tanzania, Ramadhani Mlanzi (kulia kwake), katika picha ya pamoja na wawakilishi wa taasisi za fedha za Serikali ya Uswidi, kampuni ya Siemens Energy, Benki ya CRDB, Ubalozi na Raddy Energy, jijini Stockholm, mara baada ya kikao kilichofanyika siku chache zilizopita kukamilisha mchakato wa ununuzi wa mitambo minne ya kuzalisha umeme wa gesi itakayoletwa nchini ili kuimarisha uzalishaji wa umeme nchini.

IMG-20251219-WA0053.jpg
 
No soft game in life , PROTECT YOUR LIFE, SAY NO DEMONSTRATION❌
 
GEN Z NI KIZAZI CHA WATU WAPUMBAVU AMBAO WAMELELEWA NA HOUSE GIRS NA KUSOMA SHULE ZA KATA

MUDA HUU NIPO HAPA KUWAELIMISHA NACHOMA BUNDLE NA MUDA ILI WASIJE WAKAWA CHAKULA CHA MAMBA

N.B No soft game in life , PROTECT YOUR LIFE, SAY NO DEMONSTRATION❌
Hutaweza na save your bundle japo umewekewa na kihongozi! Na Kama ni wapumbavu kinakuhaisha nini juu Yao? Huo ni upunguani!
 
Balozi wa Tanzania nchini Uswidi, Mhe. Mobhare Matinyi (wa nne kutoka kushoto mstari wa mbele), akiwa pamoja na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Raddy Energy ya Tanzania, Ramadhani Mlanzi (kulia kwake), katika picha ya pamoja na wawakilishi wa taasisi za fedha za Serikali ya Uswidi, kampuni ya Siemens Energy, Benki ya CRDB, Ubalozi na Raddy Energy, jijini Stockholm, mara baada ya kikao kilichofanyika siku chache zilizopita kukamilisha mchakato wa ununuzi wa mitambo minne ya kuzalisha umeme wa gesi itakayoletwa nchini ili kuimarisha uzalishaji wa umeme nchini.

View attachment 3517720

Kampuni ya Raddy Energy ya Tanzania Kununua Mitambo ya Uzalishaji Umeme Kutoka Kampuni ya Siemens ya Uswidi Kwa Dola Milioni 320​

1766158633851.jpeg

About Our Company​

Raddy Fiber Manufacturing (T) Limited, a subsidiary of our parent company, is strategically located in Mwanambaya, a part of the Mkuranga district within the Coast Region, conveniently situated just 25 kilometers from Dar-es-Salaam.

Our unwavering commitment revolves around the production of premium-quality fiber optic cables and associated accessories. Our extensive expertise spans across diverse sectors, including industrial, distribution, manufacturing, telecommunications, security, and commercial projects. This scope of operation extends beyond Tanzania, encompassing East and Central Africa.

We take pride in our strategic partnerships with esteemed Mobile Network Operators and the Ministry of Education, Science, and Technology of the Government of Tanzania, reinforcing our standing as a trusted and reputable industry collaborator.

FIBER CABLE

View: https://m.youtube.com/watch?v=LZLDLhUHIIc
RADDY Energy Tanzania :
CEO Mr. Ramadhani Mlanzi,
Mr. Herman Luhanga (Head of Projects and Planning) and Mr. Fredrick Mtui (Head of Sales and marketing).
RADDY Energy HQ Mkuranga, Pwani
Tanzania
 
GEN Z NI KIZAZI CHA WATU WAPUMBAVU AMBAO WAMELELEWA NA HOUSE GIRS NA KUSOMA SHULE ZA KATA

MUDA HUU NIPO HAPA KUWAELIMISHA NACHOMA BUNDLE NA MUDA ILI WASIJE WAKAWA CHAKULA CHA MAMBA

N.B No soft game in life , PROTECT YOUR LIFE, SAY NO DEMONSTRATION❌
Dogo naona umechukua zamu ya Lucas Mishanga.

Upo moto sana kutetea upuuzi wa mbogamboga.
 
GEN Z NI KIZAZI CHA WATU WAPUMBAVU AMBAO WAMELELEWA NA HOUSE GIRS NA KUSOMA SHULE ZA KATA

MUDA HUU NIPO HAPA KUWAELIMISHA NACHOMA BUNDLE NA MUDA ILI WASIJE WAKAWA CHAKULA CHA MAMBA

N.B No soft game in life , PROTECT YOUR LIFE, SAY NO DEMONSTRATION❌
Edit hapo kwenye HOUSE GIRS mkuu wengine inatukata
 
Mkuu kwa heshima uliyejijengea hapa jukwaanii stop this madness..topic hapa ni kikao cha randy energy na embassy..kwani Kuna maandamano tena mkuu
Hauwezi kuelewa mkuu Ila watakapokufa vijana ndo utaelewa

This is not madness and I'm not here to impress anybody .
 
Kampuni ya Raddy Energy ya Tanzania Kununua Mitambo ya Uzalishaji Umeme Kutoka Kampuni ya Siemens ya Uswidi Kwa Dola Milioni 320​

View attachment 3517733

About Our Company​

Raddy Fiber Manufacturing (T) Limited, a subsidiary of our parent company, is strategically located in Mwanambaya, a part of the Mkuranga district within the Coast Region, conveniently situated just 25 kilometers from Dar-es-Salaam.

Our unwavering commitment revolves around the production of premium-quality fiber optic cables and associated accessories. Our extensive expertise spans across diverse sectors, including industrial, distribution, manufacturing, telecommunications, security, and commercial projects. This scope of operation extends beyond Tanzania, encompassing East and Central Africa.

We take pride in our strategic partnerships with esteemed Mobile Network Operators and the Ministry of Education, Science, and Technology of the Government of Tanzania, reinforcing our standing as a trusted and reputable industry collaborator.

FIBER CABLE

View: https://m.youtube.com/watch?v=LZLDLhUHIIc
RADDY Energy Tanzania :
CEO Mr. Ramadhani Mlanzi,
Mr. Herman Luhanga (Head of Projects and Planning) and Mr. Fredrick Mtui (Head of Sales and marketing).
RADDY Energy HQ Mkuranga, Pwani
Tanzania

Balozi wa Tanzania nchini Uswidi, Mhe. Mobhare Matinyi (wa nne kutoka kushoto mstari wa mbele), akiwa pamoja na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Raddy Energy ya Tanzania, Ramadhani Mlanzi (kulia kwake), katika picha ya pamoja na wawakilishi wa taasisi za fedha za Serikali ya Uswidi, kampuni ya Siemens Energy, Benki ya CRDB, Ubalozi na Raddy Energy, jijini Stockholm, mara baada ya kikao kilichofanyika siku chache zilizopita kukamilisha mchakato wa ununuzi wa mitambo minne ya kuzalisha umeme wa gesi itakayoletwa nchini ili kuimarisha uzalishaji wa umeme nchini.

View attachment 3517720
serikali imejenga dam mpya kugenerate umeme mwingi..hawa juakali na megawatt hizo ndogo za nini? watamuuzia nani? sijaona wawakilishi wa TANESCO hapo au wizara ya nishati..unaanza uwekezaji bila kuwa na PPA? kwa nini wasione need ya kutengeneza nishati ya kupikia? hata hao ubalozi wmeshindwa kuona kwa hiyo scale wanayoanza nayo umeme wao utakuwa na gharama za juu? biashara za udalali hizi..kwa hiyo wmewafuata siemens ndio wafue umeme..?
 
Nini tena, mjumbe mzito Mr. Michael Songore Raphael Mjinja aliyeongozana kwa kuaminiwa sana na kiongozi wa msafara Mr. Abdul Halim Hafidah Ameir kule Uganda ametenguliwa ?

President Museveni Meets Delegates From Tanzania, Discuss Cooperation In The Energy Sector​

By
August 11, 2023

Kampala, Uganda

President Yoweri Kaguta Museveni has today met a group of delegates from Tanzania at State House Entebbe.

During the meeting, the President and the visiting delegation discussed future cooperation in the area of Energy between Uganda and Tanzania.

The energy engagement mainly centered around the power line from Mutukula to Mwanza which they both expressed optimism that it will boost the development of the two countries.

President Museveni also okayed the proposal from the delegates to go ahead and develop the solar generation plant of 20 megawatts in Nwoya district near Olwiyo substation in Northern Uganda.

“There, we shall no longer have issues of electricity in that area,” he added. The delegates in attendance were Mr. Abdul Halim Hafidah Ameir, Mr. Abdallah Khamis Khaliki, Mr. Michael Songore Raphael Mjinja and Mr. George Nkya.

The meeting was also attended by the Minister of Energy and Mineral Development, Hon. Ruth Nankabirwa Ssentamu.

1766221550451.png
 
Siemens invest in natural gas in Tanzania​

Sagamu-Independent-Power-Plant-696x392-696x392.jpg

Global powerhouse, Siemens is set to invest in power production in Tanzania as it seeks to boost the goals of the country as far as energy is concerned. The German conglomerate has been a great pillar in the field of energy, improving Tanzania’s neighbor Uganda on the same.

Tanzania is set to receive a boosting investment from the the largest industrial manufacturing company in Europe, putting three-quarter of its efforts in the natural gas. The two parties hope to bring a total of 1,000 megawatts, where the country will use 800 from natural gas.

Natural resources have revolutionized the industry, edging out other alternatives of power source. Siemens is coming as a 100% financier in the project, according to reports. Siemens is ready for the task having recorded a success of other projects it has done in other countries.

Power supply system is an important aspect in any economy to set factories and companies up and running effectively and efficiently. The South Africa firm understands the challenges faced in the field, with extensive and reliable power supply being a major barrier in the growth of businesses.

The energy sector drives the economy and more investment will be needed for Tanzania to have a competitive economy. It is a prerequisite for the industrialization drive in the near future. Siemens is believed to be involved with other engineering projects in the country.

Long-term energy ambitions in Uganda have been aided by the firm, making positive steps with the Ugandan government. Electricity in Uganda, like other countries has hampered growth and development making other investors shy off from establishing major factories, especially in the rural areas.

The opportunity will bring in employment chances as well to the rapidly growing population, creating sustainable streams of revenue, better technology and encourage innovation at national level
 
TOKA MAKTABA:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Kiwanda cha kutengeneza Nyaya za Mawasiliano cha Raddy Fiber Manufacturing Tanzania Limited kilichopo Mkuranga mkoani Pwani leo tarehe 03 Desemba, 2021.

1766222321887.jpeg

Wengine katika picha kutoka kulia wa kwanza ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Uwekezaji Geoffrey Mwambe pamoja na Mtendaji Mkuu wa Kiwanda hicho Ramadhani Hassani Mlanzi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kama ishara ya kuzindua Kiwanda cha kutengeneza Nyaya za Mawasiliano cha Raddy Fiber Manufacturing Tanzania Limited kilichopo Mkuranga mkoani Pwani

1766222380007.jpeg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua kazi mbalimbali katika Kiwanda cha kutengeneza Nyaya za Mawasiliano cha Raddy Fiber Manufacturing Tanzania Limited kilichopo Mkuranga mkoani Pwani

1766222465263.jpeg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Kiwanda cha kutengeneza Nyaya za Mawasiliano cha Raddy Fiber Manufacturing Tanzania Limited wakati akipita kukagua hatua mbalimbali za utengenezaji wa nyaya hizo za Mawasiliano Fiber katika kiwanda hicho kilichopo Mkuranga mkoani Pwani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasikiliza wataalamu mbalimbali wa Kiwanda hicho cha Nyaya za Mawasiliano katika sehemu ya maabara ya kupima uwezo wa nyaya hizo kabla ya kuziingiza sokoni.

Tanzania President Inaugurates Largest Optic Fiber Production Plant in East Africa

DECEMBER 7, 2021

The President of Tanzania Hon. Samia Suluhu Hassan launched on 03rd December 2021 the Raddy Fiber Manufacturing Ltd Factory located in the Mkuranga District some 50 km south of Dar es Salaam. The factory has the capacity to produce up to 24,000 kilometers of optic fiber per year and is expected to provide about 670 jobs making it the third-largest in Africa and the first in East and Central Africa
1766222699755.jpeg
 
Back
Top Bottom