Balozi Mulamula aula ikulu

Kwa staili hii tusubiri uteuzi wa mshauri wa rais wa mambo ya sanitary and gabbage!
 
[BSwali zuri but Ikumbukwe Waziri anamajukumu mengine mengi, uyo aliyemteua ni full time job kama advizer.[/B]
Samahani kuuliza si ujinga. Je wizara ya mambo ya nje siyo yenye jukumu la kumshauri raisi kwenye mambo ya diplomasia? I mean hiyo siyo kazi ya waziri wa mambo ya nje? Nauliza tu...
 
JK ushauri utafute hapa jamvini JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…